Njia nzuri ya kutunza pesa

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
5,259
Reaction score
10,078
Habari wanajamvi ?
Natumai mpo na afya njema(jambo la kumshukuru mungu) lkn kama nitofauti na nilivyotumaini basi mungu akupiganieni mrudi katika hali za sawa.



Lengo na madhumuni ya kuanzisha uzi huu ni kupata njia(account mfano ya bank nk) iliyobora kabisa ya namna gani naweza tunza pesa katika hali ya usalama.
Lakini pamoja na hilo nikiwa kama mjasiriamali mdogo ningependa njia hiyo(account) iwe rafiki kwangu kwa upande wa makato, bonus ,na vingine ambavyo havitonijeruhi katika uchumi wangu binafsi.


Karibuni kwa michango yenu
Nb:Uandishi tuvumiliane tafadhali




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Savings account ambayo ina limited options za kutoa hela

Waweza tembelea mathalani CRDB na NMB kujua aina za akaunti, kabla hujaitumia pata uelewa wa makato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…