Njia panda: Itakuwaje Babu wa Loliondo akiumwa na kupelekwa hospitali?

Njia panda: Itakuwaje Babu wa Loliondo akiumwa na kupelekwa hospitali?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Nikawa najiuliza. Itokee watu walio kwenye foleni waambiwe "Samahani wapendwa katika Kristu, Mchungaji Ambilikile leo hajisikii vizuri, pressure yake na sukari imepanda hivyo kapelekwa KCMC kwa matibabu. Msihofu atarudi jioni maana tumewasiliana anaendelea vizuri".

Unafikiri watu watalipokeaje tamko hilo? Je wagonjwa wataendelea kusubiri kwenye foleni mpaka arudi?
 
...ah, hiyo simpo tu mbona! ..."mganga hajigangi"
 
Babu wa loliondo akiumwa mwujiza utatokea hakuna tatizo hapo
 
Sheikh Yahya mwenyewe huwa anaumwa na anapelekwa kutibiwa India
 
Jaman babu nae ni binadamu kama sisi tu, akiumwa ameumwa, mganga siku zote hajigangi, but meanwhile let us enjoy the kikombe
 
Jaman babu nae ni binadamu kama sisi tu, akiumwa ameumwa, mganga siku zote hajigangi, but meanwhile let us enjoy the kikombe
Watu wanafikiri labda Babu Loliondo hawezi kuugua au kufa
 
Mbegu ili iote lazima ife. Makao yetu si hapa, magonjwa (kushindwa kwa baadhi ya viungo vya mwili) ni moja ya tiketi za kukuondoa.
 
Mie naona ni bora
kama angesali na kubariki
mtu mwingine hata ye akila
vumbi 6feet under hamnashida..
maana kuna alie kabidhiwa urithi.
 
Back
Top Bottom