Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
...ah, hiyo simpo tu mbona! ..."mganga hajigangi"
Watu wanafikiri labda Babu Loliondo hawezi kuugua au kufaJaman babu nae ni binadamu kama sisi tu, akiumwa ameumwa, mganga siku zote hajigangi, but meanwhile let us enjoy the kikombe
Hivi kumbe mganga hajingangi??
Miss YouMie naona ni bora
kama angesali na kubariki
mtu mwingine hata ye akila
vumbi 6feet under hamnashida..
maana kuna alie kabidhiwa urithi.
Miss You
Miss You
khaaaaa!So sorry bwt yesterday aee
Njoo unibebe chumbani basi
Au tuanzie sebuleni...
mmmmhhhh lol
Nini sasa. .khaaaaa!
huku kijijini kwetu kitambi ni fashion! ukiwa na kitambi unatafuna hata galfriend wa mbunge.Nini sasa. .
piga GYM punguza
Kama 10kg halafu
ntafikiria kukubeba
Hahahah lol