Njia panda : Should i really wait???

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Ikiwa imebakia wiki moja kwenda ukweni kujitambulisha na kutoa mahari, mtarajiwa anadai tupostpone our wedding mpaka amalizane na shule kwanza maana she cant handle the strees of finnishing college and wedding preparations..nimeudhika, i am thinking about calling the whole thing off, and move on to the next one..
 


Yeah_kama umeudhika...you have to call the bundle of things back and pack_from there you can move on and never come back!
 
kwani tatizo liko wapi si usubiri tu, why the rush
 
Uamuzi ni wako! Kumbuka wewe ni mkaliwaKitaa piga chini fasta lamba mwingine si wapo? Kumbuka ana kidumu chake chuoni.

Bazazi ni Bazazi!
 
kutoa mahari na harusi mbona vitu 2 tofauti?
Katoe mahari then umsubiri amalizee shule ndo umuoe
 
Kama umeona sababu aliokupa sio ya msingi kwaupande wako na wewe ndio unaona vigezo vyote,inawezekana anajitia bei
au anakujaribu au anamipango yake mengine sio na wewe..
 
Kama umeona sababu aliokupa sio ya msingi kwaupande wako na wewe ndio unaona vigezo vyote,inawezekana anajitia bei
au anakujaribu au anamipango yake mengine sio na wewe..
nimeliwaza hili sana tu, naona bora nitokee mlango mwingine huu haunifai..
 
Kuna mtu anamtegemea anayempenda, akimkosa atarudi kwako, alternative B

Dig it.........
 
i see the reasons are not convincing enough..

kama na wewe umepitia chuo, najua uzijua fika pilika za mitihani, kujisomea ukisikia kuna test tu , embu niambie una test saa nane mchana wakati huo huo unatakiwa umuwahi paroko saa saba kwa ajili ya mafundisho ya ndoa atasoma saa ngapi , ndo maana ameamua afanye kimoja kimoja, akiamini wewe ni mpenzi wake utamuelewa.

kama una mapenzi ya kweli kwake utamsikiliza labda kama na wewe ulikuwa unatafuta sababu ya kujitoa
 
Nina wasiwasi na level ya mapenzi yako kwake!
thought ts the inverse so i am the one to be doubted?? I should be doubdted mpaka katika hatua ya kwenda ukweni kwa ridhaa yangu mwenyewe??
 
jamani mtu hapumui???mitihani,test,sup nazo labda zipo.Tena umpe mwaka mzima baada ya masomo yake apumue.then muingize ndoani.
 
thought ts the inverse so i am the one to be doubted?? I should be doubdted mpaka katika hatua ya kwenda ukweni kwa ridhaa yangu mwenyewe??

So kwenda ukweni ni kipimo cha penzi?
Mimi nilifikiri kipimo ni kumsikiliza na kumuelewa.
Labda nikuulize, ndoa unategemea iwe lini? Kabla hajamaliza mitihani yake au baada?
Kama ni baada, ongea naye mwambie unachotaka kufanya ni taratibu za awali tu na mengine yatasubiri.
Kugive up haraka and just like that, ndicho kilichonistua.

Kwa upande mwingine, huenda mdada wa watu hayuko sure kama anataka kuspend the rest of her life with you; ndio maana anataka muda zaidi.
 

kwani kaka imebaki muda gani mpaka amalize hiyo skonga?
 
khee ata mimi staki, shule na ndoa mwee, mahusiano 2 akati niko chuo yalinshnda ebu acheni tumalize kwanza chuo then mtatuoa mwee! Am tokin frm xperience bt endapo atamaliza afu haelewek then hapo ndo unaweza kulahumu bt so far u dnt poses da ryt to do so, u heard?!! Al b back!
 
hamna kitu kibaya kama mtu ambaye hana msimamo. sasa wakati unamwambia kuwa unataka ndoa yeye alikuwa hajui kuwa mambo ya harusi na skonga yataleta stress nyingi? ah wewe naona bora upotezee tuu
 
Hizo stress za shule zimekuja wiki moja before mahari kulipwa? Watu wana busy jobs, mikutano kila uchao na safari kibao za kusaka mahela na bado wanahangaika na stress za harusi hadi kinaeleweka! Seuze mwanafunzi na test zake?
Ngastuka, machale kun'ndesa! Iko namna kaka, ahirisha utajitia nuksi bure! Mungu aonaye sirini atakukutanisha na majibu ya fumbo lako. Mambo ya mahari na kusubiri mwaka ndo kuoana ni kujitia nuksi tu ya kurudishiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…