Njia panda Ujauzito huu

Mwinyi_tza

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
23
Reaction score
5
Wakuu Poleni na Majukumu, nina changamoto kadhaa kuhusu Ujauzito wa mke wangu.

Wife wangu ni mjamzito unaokaribia miezi miwili, tatizo alilonalo kwa sasa ..anasumbuliwa na maumivu ya Tumbo Kwenye kinena na wakati mwingine chini ya kitovu.

Ameshaenda hospitali amepima maradhi yote ya ngono / zinaa vipimo vimeonesha yupo fresh lkn bado anasumbuliwa na tumbo...

Tafadhali naombeni msaada Wenu, ni Ujauzito wake wa kwanza.
 
UTI hio ndo dalikizake unaeza Pima haunaika bacteria wanamla ndani kwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…