how old are you????????
yani uko na 25 unataka kuoa 30 yanini kukomazwa kabla ya wakati ww au huogopi ngiriMiaka 25 boss!
Tatizo lako inaonekana lilianzia hapa
https://www.jamiiforums.com/mahusia...286-jamani-mnisaidie-mwenzenu.html?highlight=
yani uko na 25 unataka kuoa 30 yanini kukomazwa kabla ya wakati ww au huogopi ngiri
naamin mm ni handsome zaid yako,nina elimu nzuri zote ba na ma nimepiga mbele,kwa kifup nina sifa zote bora na hela ninayo,keshokutwa ntakuwa bongo sasa cha kufanya wewe nipe namba yake ila awe tayari kupima ngoma(wote tutafanya hivyo),naamin atanipenda zaid kuliko wewe kisha wewe endelea na huyo wako.Jamani mwenzenu niko njia panda kuna msichana ananipenda sana na amenitamkia waziwazi sasa kwa upande wangu mimi simpendi na kumwambia namuonea huruma na sijawahikuchakachua nae,ila kuna msichana mwingine ninampenda sana lakini yeye hataki nimuoe coz amenizidi umri kidogo kama miaka mitano hivi na pia dini ni tofauti na huwa tunachakachua sana sasa cjui nfanyeje,mchango wenu wadau pliz!