Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ushirikina ndio njia pekee inayotumiwa na Utopolo kufifisha nyota za wachezaj wa wekundu, huko kwa mwarabu Misri ndio mahali pake kusoma albadiri na dua nzito ya kafara.
Wachezaji wenu walindwe dhidi ya ushirikina na ule uwanja wa Bunju umefukiwa vitu vya ajabu, mkiacha mmekwisha.
Wachezaji wenu walindwe dhidi ya ushirikina na ule uwanja wa Bunju umefukiwa vitu vya ajabu, mkiacha mmekwisha.