Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,647
Tumepoteza "Golden Match", "Golden Chance" whatever you call it, but mechi ya jana imewaumiza Watanzania........Kocha amekuwa jeuri kama si Mkaidi mwenye husda na maendeleo ya Timu yetu ya Taifa.......Kocha hana maamuzi sahihi, kwa wakati sahihi ndio maana timu imepoteza dira.......Labda nitoe rai kwa TFF, Kuwa tunaomia Ni sisi Watanzania/mashabiki na wala sio huyo Amunike kwani Hata tukifungwa yeye bado anakula Salary yake kama kawaida......Machungu tuliyonayo yatapungua iwapo Amunike atarudi Kwao Nigeria na hata kama itaonekana gharama za kuvunja "Contract" yake ni kubwa sisi Mashabiki tutajitolea kuchanga hela yake alipwe atuondolee balaa hili.
#Amunike_must_Go
#We_need_no_Amunike
#Disappointed enough_____
#TFF Make your decisions.
#Amunike_must_Go
#We_need_no_Amunike
#Disappointed enough_____
#TFF Make your decisions.