Njia Pekee Ya TFF kutupoza Machungu Watanzania ni kusitisha mkataba/Kumfukuza Kocha Amunike

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
3,030
Reaction score
4,647
Tumepoteza "Golden Match", "Golden Chance" whatever you call it, but mechi ya jana imewaumiza Watanzania........Kocha amekuwa jeuri kama si Mkaidi mwenye husda na maendeleo ya Timu yetu ya Taifa.......Kocha hana maamuzi sahihi, kwa wakati sahihi ndio maana timu imepoteza dira.......Labda nitoe rai kwa TFF, Kuwa tunaomia Ni sisi Watanzania/mashabiki na wala sio huyo Amunike kwani Hata tukifungwa yeye bado anakula Salary yake kama kawaida......Machungu tuliyonayo yatapungua iwapo Amunike atarudi Kwao Nigeria na hata kama itaonekana gharama za kuvunja "Contract" yake ni kubwa sisi Mashabiki tutajitolea kuchanga hela yake alipwe atuondolee balaa hili.

#Amunike_must_Go
#We_need_no_Amunike
#Disappointed enough_____
#TFF Make your decisions.
 
daaa!!kazi kweli kweli kazi ya ukocha ,ni ngumu sana!!leo ukishinda kwa kuwatumia wachezaji hao hao unaonekana bonge la kocha ila kesho ukipigwa ukiwa na hao hao unaonekana si lolote!!!tatizo la Tanzania ni zaidi ya kocha ukianzia wachezaji ,shirikisho la mpira ndio ovyo kabisa badala ya kusimamia mpira wa miguu kuanzia chini wao wamekuwa ni kufungia watu wenye mitazamo tofauti na viongozi waliopo madarakani!!yaani ukiomuona tu yule mzee mwenye miwani ameitisha press conference jua kuna mtu anachezea kifungo cha maisha kutojihusisha na soka!!hayo ndio wana weza,
 
TFF wana madudu yao na tunayafahamu......Kocha bora ni yule anayejua kupanga kikosi cha matokeo na hata pale panapokuwa na ugumu huchukua maamuzi sahihi ya kupangua baafhi ya wachezaji na kuingiza nguvu mpya ya uhakika
 
Kumtetea Amunike ni kazi vilevile kama kuwatetea wachezaji wa Tanzania.
Mfano game ya jana wale beki wa kulia na kushoto sijui kawatoa wapi? Hawakabi, Hawapandi,... unamuweka GADIEL winga kweli?, MAO MKAMI Winga kweli?
Ulichokuwa anatafuta Emmanuel Amunike ni kutoruhusu kufungwa magoli mengi na amefanikiwa .. huwezi kwenda ugenini kudifensi wakati timu inataka point.. unataka ushindi utamuweka KICHUYA nje?.. BOCCO je?

Arudi kwa DAVIDO tu
 
Ni mzigo wa misumari kichwani
 
Arudi kwao, hata ukienda Cameroon na kocha wa namna hii utapata aibu kubwa sana.
 
Arudi kwao, hata ukienda Cameroon na kocha wa namna hii utapata aibu kubwa sana.

Mpaka wachambuzi wa supersport wanasema walitegemea mtu kama Abdi Banda angechezeshwa mechi kama hii, nini iko kwenye akili ya Amunike?
Tulimsamehe mechi ya kwanza Cape VERDE kuwa labda ugeni, lakini hapana aidha mjinga sana! au anatumiwa na mtu mwenye ajenda ya hovyo! asifikili amekuja kufundisha mpira at national team level! yeye ni mratibu tu wa kutumia watu ambao wako kamili.
Kama hiyo ndiyo approach au terms alipewa na TFF aende umiseta. Possibly, ana inferiority complex, anaogopa wachezaji wenye exposure ya well established coaches ndiyo maana anajaribu kutengeneza kijikosi kipya. Full Back toka Lipuli? of course Lipuli siyo issue, huyu naona hata ligi haangalii.
Anaona kama Nigeria imeendelea sana kimpira, anatuona sisi washamba tukisikia Amunike tutaona kocha wa maana.
Hivi CV yake ni confidential? Timu binafsi kama Simba na Yanga zinapata makocha wazuri TFF wanashindwa tatizo nini, pesa?

Kama mpira wetu mbovu mbona kina Okwi, Juuko na yule beki wa Azam wanacheza vizuri na kawaida ligi yetu na The Cranes na wanadhibitiwa kikawaida hapa Tanzania: FUFA wanajitambua, hawa TFF wetu shida tupu. Kwa mpira wa mwaka huu at least bila hao wachezaji wa Simba, Yanga na Azam na foreign based kina Banda etc. hatuendi kokote.
 
labda mie nafikiri tofauti timu yetu ni ya kucheza mashindano lakini hatuna timu ya USHINDI huenda kocha akatupiwa lawama na hiyo ni kawaida lakini je timu ya ushindi tunayo ni mara ngapi tumu zetu za vilabu nahiyo yataifa zimekuwa zikituacha na machungu pale tunapo takiwa kupata matokeo laki huwa tofauti hivi hii timu yetu inaweza kutupa matokeo hata kama tutafanikiwa kwenda huko kameruni japo siamini kama tuna huo uwezo wa kufika huko tatizo letu tumewekwza katika dua kuliko kwenye sayansi ya mpira sifurahi lakini ndivyo tulivyo
 

Attachments

  • IMG_20181020_110944.jpeg
    101.5 KB · Views: 12
Gadiel winger,mao winger,gadiel kona hata kupiga hajui,beki la lipuli namba tatu abdi banda hata benchi hayupo, aisee huyo mnigeria ni nyani wa hali ya juu LISHOGA KABISA,YAANI ILE NI SABOTAGE SABOTAGEEEE
 
Japo kocha anamapungufu yake ila binafsi naona wasaidizi wa kocha hasa Morocco Hemedi ndiye katusaliti labda kama kocha hashauriki,japo na wachezaji wetu hawajitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…