Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kiukweli, sioni namna yoyote Yanga anaweza kuzuia kipigo kutoka kwa Simba, najua ss hv wiki nzima hii majina ya chama, okrah, sakho, banda, Okwa, Phiri, Dejan na wengine kadhaa yashaandikwa kwa kiarabu na kwenda kuzikwa makaburini na baharini, hakuna namna nyingine zaid ya hiyo, otherwise kutakuwa na maafa makubwa kwenye ngao ya jamii.
Mpira mwingi sana utapigwa jmoc, golini Manula, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, nne Inonga, sentahafu Quattara, viungo Mkude, Sakho, Chama, Okwa, Okrah na muuaji ni Dejan.Na ifike tu hiyo jmoc
Mpira mwingi sana utapigwa jmoc, golini Manula, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, nne Inonga, sentahafu Quattara, viungo Mkude, Sakho, Chama, Okwa, Okrah na muuaji ni Dejan.Na ifike tu hiyo jmoc