Njia pekee ya Yanga kuizuia Simba Jumamosi ni kuzika tu majina ya wachezaji wao makaburini

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kiukweli, sioni namna yoyote Yanga anaweza kuzuia kipigo kutoka kwa Simba, najua ss hv wiki nzima hii majina ya chama, okrah, sakho, banda, Okwa, Phiri, Dejan na wengine kadhaa yashaandikwa kwa kiarabu na kwenda kuzikwa makaburini na baharini, hakuna namna nyingine zaid ya hiyo, otherwise kutakuwa na maafa makubwa kwenye ngao ya jamii.

Mpira mwingi sana utapigwa jmoc, golini Manula, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, nne Inonga, sentahafu Quattara, viungo Mkude, Sakho, Chama, Okwa, Okrah na muuaji ni Dejan.Na ifike tu hiyo jmoc
 
Mlenda FC
 
Huyo chama,sakho,banda kwenye derby huwa mnawatoa nje sub leo tuwaroge kwa lipi?Huyo mzungu anaekimbia kimbia hovyo uwanjani...?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Haya maneno yenu ya kucheza mpira mdomoni, tumeyazoea. Ila siku ya mechi mkiingia uwanjani, mnapoteana na kuruka ruka tu!

Halafu baadaye mnakuja na story zenu za kufikirika! Eti Yanga imeroga mechi! Sasa kwa nini na nyinhi msiroge?
 
Hiyo taarifa kuhusu mashabiki wawatupia Simba shanga jukwaani
*Wahusisha na tukio la ................!


Aione cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tukio lipi??

Kuna tukio la kuizidi porno video kutoka utopoloni?????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tukio lipi??

Kuna tukio la kuizidi porno video kutoka utopoloni?????
Mkuu mbona jazba [emoji38][emoji16][emoji1787]
 
Mkuu mbona jazba [emoji38][emoji16][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani ana jazba??? Mie huyu au yeye??
Nimemuulizaa yeye aje anijibu,. Hata wee km una majibu toa.

Byuti byuti.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taabu ya kubanwa mavu ndio hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…