mwanike wa ukaya
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 115
- 79
Mara zote huwa najiita nna nyota mbaya ya mahaba ,mim ni form six ila nmeshanasa Mke ya wenyewe kama 4 naomba radhi sitowapenda nilinusurika, ukija hivi videmu fresh asee nimezoa ila napunguza naahidi
Kuwapata side b lazma ujue mambo utakayoulizwa kabla ya kumnasa mtoto mzuri Wa shambani wale Wa town huna hata haja ya kuteseka ni kujichukulia tyuu na nawashangaa mnaobaki CHAPUTA. Watu Wa chama nlichodumu hadi wiki 2, zilizopita tangu 2008 nilikuwa mshirika mzuri kwa siku Mara mbili
Response yao ni
-sikutaki mpumbavu wewe
-hujawaona wengine?
-wanaume mnakuwaga waongo
-nitakuaminije?
-nini unaniahidi?
-nna boyfriend wangu
-oooh Mimi sitaki
Baada ya kujua maswali hayo tafuta majibu na kariri kichwani ndugu nakuhakikishia umeshawanasa ...ila kumbuka imeandikwa usizini ni heri ukatongoza na kuacha kuliko kujifanya unajua mambo, yangu ni hayo tyuu kwa Leo, toka huku muleba