Njia rahis ya kupata watoto wakali ni kwenye page ya wema sepetu na hamisa mobetto huko instergram

Njia rahis ya kupata watoto wakali ni kwenye page ya wema sepetu na hamisa mobetto huko instergram

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe juu yenu

Je unataka manzi? Je unataka mchuchu mkali wa geti Kali na mwenye kujielewa? Hujachelewa Mzazi Leo nakuibia siri ambayo naomba uitunze sana


Siri ni moja tu Mzazi nenda kwenye page za instergram za wema sepetu na hamissa mobetto utapata wachuchu had ukimbie mwenyewe

Kuna madem huwa wanacoment kule zama nao DM zao, demu akikoment mfatilie taratibu kwenye page yake kuanzia sura yake na mazingira yake kisha zama DM

Mimi kwa sasa wala sihangaiki kutongoza dem mabarabaran madem wote nawapata huko

Hasa hasa kwa wema sepetu kule ndo kuna mademu bwelele kabisa

Fanya hivyo utanipa majibu hujachelewa mzazi

ASANTE NAWASILISHA

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usitume naul kiboya angalia bidada anayejiheshimu huko kwa wema achana na wale wa badoo hao watakukomba kila kitu mzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Me namwambia aje na Uber kama yuko serious nalipa. Au bodaboda.
Najua kwa style ile ya kutuma nauli wanapiga hela sana japo wewe utaidharau kusema ndogo 5000 kumbuka anapata watu zaidi ya 30 kwa siku wanaomtamani na kumtumia 5000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MARA PAAAP..... BABY LUKU IMEKATA NAOMBA NITUMIE ELF 10 NINUNUE LUKU, I LOVE YOU!!!
 
Kumbe vijana mnafaidi! Ngoja na Mimi nidownload haka ka-app


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom