Unafundisha watu kuhujumu uchumi wewe? Unafundisha watu kuiibia serikali na serikali ikose mapato?? Iyobarabara unayosema haina mizano kwa hyo hatuwezi (in magu s voice)Wakati tunasubiri ujenzi wa njia ya reli na upanuzi wa barabara ya Dar _ Chalinze kwa sasa tunaweza kupunguza msongamano kwenye kipande hiki cha barabara kwa kuyaamuru mabasi na magari yote yanayokwenda Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Mombasa yapitie barabara ya Bagamoyo hadi Msata na kubakisha tu yale yanayokwenda Chalinze, Morogoro, Mwanza, Mbeya na Lugoba hadi Msata tu. Hii nayo inahitaji agizo la Rais?
Nani kakwambia ww kuwa haina mizani? kama hujui ni vema ukasoma michango ya wengine tu kwanzaUnafundisha watu kuhujumu uchumi wewe? Unafundisha watu kuiibia serikali na serikali ikose mapato?? Iyobarabara unayosema haina mizano kwa hyo hatuwezi (in magu s voice)
Mzee soma post yangu vizuri uielewe hasa mwishoNani kakwambia ww kuwa haina mizani? kama hujui ni vema ukasoma michango ya wengine tu kwanza