Na ukienda TRA, jitahidi udamke sa2 uwepo pale, ukienda sa4 vishoka wameshajaa.
Utapata control number, utalipia na siku ukipata msg ya kwenda kuchukua jitahidi uende mapema pia.
Unaweza hitajika kwenda Traffic,
Me nilienda ila sijui walichofanya, nilivofika nikampa karatasi la TRA aka update kwa system nikarudi TRA kuchukua control number.
Na TRA za leseni siyo zote, fuatilia mahali ulipo ni TRA ofisi zipi zinahusika na leseni za udereva.