Njia rahisi ya kukumbuka tarehe ya leo

Njia rahisi ya kukumbuka tarehe ya leo

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Naizungumzia tarehe hii ya 23.1.2020 na hii ni ikiwa kama mshahara umetoka au utatoka.

Ukiisahau hii tarehe ya leo basi utasema tu kuwa mshahara ulitoka siku ambayo Kangi alitumbuliwa na hapo utakuwa umejua namna ya kuikumbuka hii tarehe ya leo!!

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom