MKITO
Member
- Oct 8, 2010
- 52
- 7
wadau inafahamika kuwa kufanya biashara yeyote ile inahitaji ujasiri lakini kabla ya kuanza lazima ufanye utafiti wa biashara unayotarajia kuifanya wakuu wa great thinkers naheshimu mchango wa kila mtu lakini leo naomba tusaidiane kitu muhimu kibiashara inafahamika hakuna biashara bila masoko.nimeleta hoja hii hapa jamvini kwa maana ya kuamini michango ya wadau
nimekuwa nikifuatilia biashara mbali mbali wapo waliofanikiwa na ambao wameshindwa lakini kila mmoja na sababu yake sasa je mnaweza kunisaidia kuongeza mbinu za kupata soko zaidi hasa kwa kutumia njia rahisi zisizo na garama katika kupata masoko wote tunafahamu masoko ni matangazo je ukiacha njia kama tovuti je kwa biashara za kibongo njia ipi ni rahisi kwa biashara kupata soko zaidi
mimi nafahamu sana kuwa mteja ndio balozi wako mkubwa je wewe mdau unajua ipi?