Njia rahisi ya kupata utajiri usio na madhara.

Njia rahisi ya kupata utajiri usio na madhara.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Hakuna apendae kuwa masikini katika dunia ya Leo na KILA mmoja anayatamani maisha yake yawe mazuri angalau apate robo tatu au nusu ya kile anacho kihitaji.
katika dunia ya leo,pesa ipo KILA mahali na utajiri upo KILA kona ila ni wewe mwenyewe tu ufanye uamuzi wako sahihi,je unataka kuwa tajiri ama hautaki.
matajiri wapo wengi sana mjini ila asilimia kumi na TANO ndio matajiri waliotumia nguvu zao za halali katika kupata utajiri.
wengi walitumia nguvu za tofauti,kuna walioiba,kukaba,kudhulumu,kufanya ufisadi,kufanya uchawi,kutoa kafara na hata wengine kujiunga na Freemason.
Leo nitazungumzia njia ya upatikanaji wa utajiri kupitia majibu wasio na madhara wala masharti yeyote.


TAHADHARI: usije kuthubutu kufanya haya nitakayo kueleza kama umri wako ni chini ya miaka kumi na nane.

katika majini,kuna majini ya aina mbili,kuna Yale yanayodhuru na Yale yasiyo dhuru.
majini yasiyo dhuru pia yanaweza kuwa rafiki wa binadamu na Wanaweza kumpatia mtu yeyote utajiri iwapo tu yatapatana na wewe NA kukuona kuwa unafaa kuwa rafiki yao.
TAHADHARI:kama wewe NI mtu mlevi,mwizi,mzinzi,tafadhali usiyaite majina haya,utapoteza muda wako na hayatakuja.


Kuna vitu vichache mmno vinahitajika ili kuyaita majina haya.
kwanza uwe na vitu vifuatavyo:
*ubani ama udi.
*kioo cha kujitazamia cha kawaida.
*mishumaa mitano.
*chaki nyeupe (kama ile ta shuleni)
*kinyesi cha mbwa au paka
(hakikisha kimekauka)
*mayai matatu ya kukutana wa kienyeji.
*kitambaa (kiwe chekundu,cheusi,cha njano ama cheupe)
*mafuta ya simba (haya yatakuzuia na muingiliano kati ya majini ya utajiri NA majini wengine wasije kuingilua mazungumzo yenu.


JINSI YA KUMUITA:
Chukua chaki yako yako na uchore duara kubwa kidogo ndani ya chumba chako ambacho ni tulivu kisicho na sauti zozote za muziki ama nyingine.
hakikisha umezima simu yako na kufanya mpango kwa ndani ili mtu mwingine asije kuingilia maana hawa majini hawapendi kuonana na mtu ambae hajawaita.
baada ya hapo yayusha mafuta Yale ya simba na uyamwagie mwagie ndani ya duara lako.
hapo hakikisha umeingia tayari na vile vifaa vyako.
baada ya hapo washa mshumaa mmoja na uuweke mbele yako lakini nje ya duara.
ile mishumaa mengine iwashe na iweke mbele yako kiasi kama cha sentimita 30 hivi.
YANI HUWEZI AMINI NDO KIJANA WA MIAKA ISHIRINI NA MBILI AU THELATHINI ANA KWENDA KWA MGANGA AMA MTABIRI NA ANAAMBIWA HIVI VITU NA BILA HATA KUWAZA SANA KWAMBA ALITAKUWA KUKAZA BUTI BILA NGUVU ZA GIZA,YE ANAFANYA HAYA MAMBO YA AJABU EBOOOO.
aisee tumia kwanza kichwa chako kabla ya chochote kile.
samahani sana kama itakua ulikimbilia ili kujua ufanye nini ili ukajaribu.
 
Hamna njia rahisi ya kupata utajiri.

Hili tangazo ni kwa wale ambao bado hajaifahamu forex au ambao wameisikia ila bado hawaamini ni njia halali ya kujipatia fedha.

Watanzania wengi hawaifahamu tofauti na wenzetu walioko Nigeria na Southafrica. Wabongo wanaoijua hufaidika kwa siri bila kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki. Tusiwe wachoyo wa kuonyeshana fursa.

Muda unaopoteza whatsapp, facebook na instagram ungeutumia kujiingizia kipato, ni biashara hali inayofanywa na mabenki yote Duniani na sasa individuals kama wewe wanaweza kushiriki kupitia Broker. Mwisho wa mwaka utapeleka faida gaio la faida yako TRA.

Kwenye simu yako nenda google store download app inaitwa meta-trader 4 (sio 5). Pia unahitaji kua na laptop ingawa si lazima kwa hatua ya mwanzo. Ili kusaidia wasioifahamu tutatoa mafunzo ya mwanzo introduction to forex bure.
(1) Kuelimisha kuhusu forex.
(2) Kuwawezesha kutumia forex
(3) Kufaidika na forex

Kwa wale wazoefu wa forex; tunatoa msaada wa strategy ambayo ni price action and quarter theory for analysis

We are using price action and quarter theory for analysis in the larger time frame and the BTMM method for a good time and position to enter trades (sniper entries).
You will need three templates on your laptop.
1) BTMM template,
2) Quarter theory lines drawn manually or by indicator
3) Price action support and resistance lines drawn on each pair.
*Install TDI indicator on your phone

Bonyeza link kujoin Telegram Channel na Group (Download Telegram kutoka google app. Whatsapp haifai inalimit ya member, Telegram haijai/no limit)

Signature Traders (BTMM)

Signature Traders Tz (BTMM)

Asanteni
 
Back
Top Bottom