Njia rahisi ya Kupunguza bei ya mafuta

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Njia rahisi sana ya kupunguza bei ya mafuta kwa wenye akili watanielewa

Mfano

Kodi zote ni 31% ya bei ya mafuta

Ths 3500 kwa lita kodi zote ni Tsh 1,085

Mfano sasa bei ni Tsh 4500 kodi ni Tsh 1,395

Serikali ikisema tu kwamba badala ya kukusanya kodi kwa 31% tukusanye kwa kiasi kabla ya vita yaani kwa bei ikiwa Tsh 3500 kama kweli wana nia ya kusaidia maana yake kodi itakuwa Tsh 1,085 hivyo bei ya sasa ingekuwa pungufu kwa Ths 310 ambayo ni Ths 4,190 sio Tsh 4500
 
Mimi akili niliuza.Sijakuelewa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna fisadi atakubali kuona mwananchi unapata unafuu wowote ule wa maisha. Kodi itabakia palepale, na tutaumia sana tu. Kwani wenyewe kupanda kwa hiyo bei hakuwahusu.
 
Acha akili ziamke usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…