Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Nunua mikate mingi
Iloweshe ndani ya pombe
Warushie kwenye banda lao
Wanalewa ndani ya dakika 2
Unawabeba vizuri sana,maana hawa jamaa huwa wana makelele sana kwakuwa wanajijua ni watamu sana hapa duniani.
Iloweshe ndani ya pombe
Warushie kwenye banda lao
Wanalewa ndani ya dakika 2
Unawabeba vizuri sana,maana hawa jamaa huwa wana makelele sana kwakuwa wanajijua ni watamu sana hapa duniani.