Njia rahisi ya kuwaiba Nguruwe hii hapa

Aiseee sema nn ziishie humu humu ..najua yote haya nisababu ya Magufuli kabana sanaaa...watu sasa ivi zile stories za pesa sijui kupeana madili hazipo sababu pesa hamna ..sasa kilichobaki ni story za km izi ,mixer mapenzi na siasa .....


BTW kuanzia mwakan kuna Neema kubwa sana ,,mifuko itajaaa ,,hold.on.
 
hahah asa ngoja ukutane na waliokubuhu wanapewa mpaka machicha ya gongo
 
Wee jamaa ni mwizi wa nguruwe....!!
Ila ukimla pork /mbuzi/ng'ombe aliyenyeshwa konyagi unanogewa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…