Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,828 Reaction score 15,001 Mar 3, 2015 #1 mfano: 11 * 12 = 132 11 * 13 = 143 11 * 14 = 154 so chukua namba inayozidishwa(12) zen jumlisha tarakimu za namba hiyo( 1+2)..jibu unalolipata(3) liandike katikati ya namba hizo mbili(132)..na hilo ndo litakuwa jibu lako
mfano: 11 * 12 = 132 11 * 13 = 143 11 * 14 = 154 so chukua namba inayozidishwa(12) zen jumlisha tarakimu za namba hiyo( 1+2)..jibu unalolipata(3) liandike katikati ya namba hizo mbili(132)..na hilo ndo litakuwa jibu lako
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Mar 3, 2015 #2 Sijajua kama humu kuna wanafunzi wa darasa la tatu wanaotakiwa kujifunza table!
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,828 Reaction score 15,001 Mar 3, 2015 Thread starter #3 Gide MK said: Sijajua kama humu kuna wanafunzi wa darasa la tatu wanaotakiwa kujifunza table! Click to expand... Mkuu uenda isiwe na manufaa kwako ila unaweza kumpatia hata mtt wako(kama umebarikiwa)..by the way kuna walimu pia humu nadhani inaweza kuwasaidia
Gide MK said: Sijajua kama humu kuna wanafunzi wa darasa la tatu wanaotakiwa kujifunza table! Click to expand... Mkuu uenda isiwe na manufaa kwako ila unaweza kumpatia hata mtt wako(kama umebarikiwa)..by the way kuna walimu pia humu nadhani inaweza kuwasaidia