Njia rahisi ya kuzidisha table ya 11

Kaboom

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
10,828
Reaction score
15,001
mfano: 11 * 12 = 132
11 * 13 = 143
11 * 14 = 154
so chukua namba inayozidishwa(12) zen jumlisha tarakimu za namba hiyo( 1+2)..jibu unalolipata(3) liandike katikati ya namba hizo mbili(132)..na hilo ndo litakuwa jibu lako
 
Sijajua kama humu kuna wanafunzi wa darasa la tatu wanaotakiwa kujifunza table!
 
Sijajua kama humu kuna wanafunzi wa darasa la tatu wanaotakiwa kujifunza table!

Mkuu uenda isiwe na manufaa kwako ila unaweza kumpatia hata mtt wako(kama umebarikiwa)..by the way kuna walimu pia humu nadhani inaweza kuwasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…