Kwanza napenda kushukuru forum hii kuwepo ili kutusaidia kukua kifikra.
Natamani, na tayari nimefanyia kazi mawazo kadhaa ambayo yote yanaonekana ni productive in future, lakini kuna uhitaji wa viwezeshi.
1-tasisi au mtu wa kuwekeza kwa pamoja, yeye atoe fedha, mm nitoe ujuzi na wazo.
2-maandalizi ya team work ambayo itakuwa winning team yetu from day one
3-utafiti umefanyika na matokeo yake kiuhalisia ni chanya na zile risk kubwa na ndogo zinabebeka kimkakati.
4-uwekezaji ktk biashara hii upo wa aina mbili kuu
----uwekezaji wa kudumu ambao utagharimu milion 15
____uwekezaji wa mtaji halisi milion 6
Ikiwezekana hii mm pamoja na wewe tutakuwa moja kati ya wawekezaji wa ndani ambao watatoa ajira kwa vijana wenzetu, pia mpaka tunaondoka duniani tutakuwa na mfumo wa kibiashara ambao ni sustainable.. Ishu kubwa ni kuthubutu and everything possible under the sun.
Uhuru wa kipato ni mhimu zaidi kuliko uhakika wa kipato... For serious investors..