Njia sahihi ya kuwa na mfumo wa kibiashara

Mpulusi

Member
Joined
Apr 15, 2016
Posts
35
Reaction score
31
Kwanza napenda kushukuru forum hii kuwepo ili kutusaidia kukua kifikra.
Natamani, na tayari nimefanyia kazi mawazo kadhaa ambayo yote yanaonekana ni productive in future, lakini kuna uhitaji wa viwezeshi.
1-tasisi au mtu wa kuwekeza kwa pamoja, yeye atoe fedha, mm nitoe ujuzi na wazo.
2-maandalizi ya team work ambayo itakuwa winning team yetu from day one
3-utafiti umefanyika na matokeo yake kiuhalisia ni chanya na zile risk kubwa na ndogo zinabebeka kimkakati.
4-uwekezaji ktk biashara hii upo wa aina mbili kuu
----uwekezaji wa kudumu ambao utagharimu milion 15
____uwekezaji wa mtaji halisi milion 6
Ikiwezekana hii mm pamoja na wewe tutakuwa moja kati ya wawekezaji wa ndani ambao watatoa ajira kwa vijana wenzetu, pia mpaka tunaondoka duniani tutakuwa na mfumo wa kibiashara ambao ni sustainable.. Ishu kubwa ni kuthubutu and everything possible under the sun.
Uhuru wa kipato ni mhimu zaidi kuliko uhakika wa kipato... For serious investors..
 
I'm on board bro. Sema tunaonana vp kufanikisha hili??Upo wapi?Uje tuongee mimi nipo tayari kabisa.
 

Mkuu tufafanulie kidogo huu usemi wako "Uhuru wa kipato ni mhimu zaidi kuliko uhakika wa kipato. "
 
#MPULUSI nafikiri ungepanga hizo ratiba mapema ili munkari usiishe au wazo lako likachukuliwa na tu mwengine au ulikua unatafuta watu wengi kushirikiana nao??? Na si mtu mmoja??
 
Ni hivi mtu mwenye uhakika wa kipato, anamfanyia kazi boss vizuri, aongezwe mshahara, aimudu familia then ana uhakika wa savings zake ktk mifuko ya kijamii.... Akikutwa na uzee zitakusaidia... Hiyo ni uhakika wa kipato mkuu... Next tutasema uhuru wa kipato
 
nimeboreka sana na uandishi wako kiasi kwamba huwezi kushawishi wazawa kujiunga na wewe fanunua kwa kina zaidi na kama unaweza unaweza kuwaendea inbox wale unaotamani kufanya nao shughuli hii kisha eleza kwa kina huko... ni ushauri huru
 
Chairman, ndugu uko sawa na ni wajibu wangu kuheshimu mawazo yako mkuu.
But ni jambo la kawaida tu kwa waafrika kupenda vitu vya kawaida ambavyo binafsi hataki kutumia akili kubwa zaid..
Unataka uambiwe kila kitu mzee(hii social media) asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…