The Boss ..... sasa kama sheria za nje zina nguvu katika jambo hilo, ilikuwaje Mkuu wa World bank alisalimika na tuhuma za ubakaji..? (Haiyumkini hata sheria za nje nazo ziko weak katika jambo hilo). Sio kwamba nataka kubishana na wewe, lakini siamini kama huyu bwana atafanikiwa kumtia hatiani mtuhumiwa. Dogo alikuwa anajua kitakachomtokea, hiyo kulia lia kwa kaka yake ni kutaka kujikosha tu, labda baada ya kaka yake kumshitukia...............
The Boss, in this country, it doesn't work that way.............................Ile ya Strauss Khan wewe unaona kasalimika
lakini wengine tunaona 'imem cost dearly'
sio mpaka mtu afungwe ndo sheria uione nzuri
hata mtu kusomewa tu shitaka ni hatua.....hata kama hatafungwa
leo Strauss Khan angekuwa Rais wa Ufaransa by now..
The Boss, in this country, it doesn't work that way.............................
Jamaa ataishia kutishwa na kupewa misukosuko na mwanasiasa ataendelea kupeta kama kawa............................
The Boss laiti kama aliyetendewa jambo hilo angekuwa ni mdogo wangu, hakika ningemloga huyo mwanasiasa na nisingekuwa na kesi ya kujibu....... Chezea Mtambuzi weye.................... Angeita maji MMA..........LOLKweli mkuu lakini hii issue imetokea nje
so kuna nafasi kama akiamua tu kufuatilia
Ndio hapa nashindwa kushangaa..
Manake huyu msomi wa Masters kama hawezi jisimamia katika hili..sasa hata huo usomi una maana gani??
Any ways hvi hzo picha za dogo alichukua wakti anapakuliwa? au?
nashukuru kwa ushauri wako ila kwa sasa simuamini mtu yoyote aisee jamani vitu vya bure bure hata hivi vi soda mara bia huko kwenye mabaa na club tuwe tunaziangalia kwa makini yawezekana zinatumwa na maneno nyuma yake nilikuwa nasikia tu kwa jirani leo limenikuta aisee ukubwa ni kazi kila siku linakuja jipya matatizo hayaishi linaisha hili linaibuka lile wakati mwingine unawaza ni bora kufa kuliko kuendelea na mateso katika dunia hii unafanya kazi ya maaana unapata pesa za kutosha ila hufurahi hata siku moja kila siku ni mawazo, stress sasa kuna umuhimu gani wa kuishi?? nakata tamaa sana katika maisha yangu sipendi basi linanikuta tu kama kusali nimeshasali sana mpka naona kama hata mungu hanisikilizi tena mdogo wangu wa pekee ameshafanyiwa hivyo nifanyeje tena?? sijui kama wengine wanashida na mawazo namna hiii asiee nimeamini kazi nzuri,pesa na nyumba nzuri sio chombo cha kukupa faraja unatamani hata kunywa sumu aibu hii mdogo wangu nitamfanyaje natamani hata afie huko huko ila naona kama namkufuru mungu kama jamii ikija kugundua nitasemaje?? huyu kiongozi nikionana nae nahisi nitaishia jela yaani kila sehemu ni mawazo,
Huwa naheshimu sana comment zako lakini vyeti na elimu dunia vinatofautiana fo a great extent
Afu eti, anayetakiwa kushtaki ni aliyeliwa tigo au ndugu yake? Je kama kanogewa na "anatakha tenna". Watu wengine kwa kuwekeana kauzibe bana. Khaa!
sikutaka kuchangia kabisa hii thread....lakini wacha tu nichangie...kama BAK alivyosema kwa kuleta hii thread hapa umejiweka ww na mdogo wako kwenye hatari sana...nasisitiza saaana...una option mbili za kufanyaPolisi magamba unawajua sidhani kama watakuwa na msaada wowote. Ni kweli unaweza kabisa kuhatarisha maisha yako na ya mdogo wako hata ya familia pia. Na maisha yenu yako hatarini hivi sasa. Kabla hujawahiwa kupelekwa mabwepande weka kila kitu hapa pamoja na hizo picha na uandike kila kitu kilichojiri bila kuacha chochote.
angekuwa ke nisingesema maana ni kawaida mkuu ila me?? no way hata mimi hili nalo nawasi wasi nalo nahisi alikuwa ameshaona hivi vitendo mwanzoni kwanini hakuniambia mapema? ila kufikia hatua ya kuniambia inawezekana amejisikia vibaya na hakukubaliana na uchafu huo. sasa mkuu nitamsubiri je tatizo kwenye vyombo vyetu ambavyo haviaminiki ni chombo gani stahiki hapo ndipo kwenye utata??