Lastbornson
Member
- Jan 21, 2018
- 87
- 49
Nimekuwa nikishuudia mara nyingi sana, wanawake wengi ambao wamejifungua kujikuta wanakuwa na matumbo makubwa hadi kubadili mwonekano wao.
Aidha, wengi wamekuwa wakijikuta wakikubaliana na hali hiyo na kukata tamaa kuwa gumbo lake haliwezi kurudia jinsi lilivyokuwa awali. Tafadhali naomba njia salama ya kupunguza tumbo kwa mwanamke aliyekwishajifungua ukizingatia na wale waliojifungua kwa upasuaji.
Asante sana!