Njia salama ya kupunguza mafuta kwa matumbo ya akinamama baada ya uzazi

Lastbornson

Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
87
Reaction score
49
Nimekuwa nikishuudia mara nyingi sana, wanawake wengi ambao wamejifungua kujikuta wanakuwa na matumbo makubwa hadi kubadili mwonekano wao.

Aidha, wengi wamekuwa wakijikuta wakikubaliana na hali hiyo na kukata tamaa kuwa gumbo lake haliwezi kurudia jinsi lilivyokuwa awali. Tafadhali naomba njia salama ya kupunguza tumbo kwa mwanamke aliyekwishajifungua ukizingatia na wale waliojifungua kwa upasuaji.

Asante sana!
 
Upasuaji una changamoto kubwa sana katika suala la kupunguza tumbo,

Asubirie apone kwanza!
Awe na kiasi na anywe maji ya uvuguvugu na asali itamsaidia sana
 
Upasuaji una changamoto kubwa sana katika suala la kupunguza tumbo,

Asubirie apone kwanza!
Awe na kiasi na anywe maji ya uvuguvugu na asali itamsaidia sana
Asante, ila maji ya uvuguvugu yanasaidiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…