Njia 5 Rahisi za Kutengeneza Tsh 10,000 Kila Siku Kupitia Simu Yako π± na Internet π
π Unahitaji tu simu ya mkononi
π Internet ya kawaida
π Akili ya kujifunza na kuchangamka
Huna mtaji mkubwa? Hakuna shida.
Huna kompyuta? Hakuna shida.
Simu yako inaweza kuwa mtaji mkubwa kuliko unavyodhani!
Hebu twende pamoja, njia kwa njia:
πππ
1. KUUZA BIDHAA MTANDAONI KAMA WINGA AU DALALI
π Hii ni njia rahisi sana, mtu yeyote anaweza kuanza.
π Unakuwa unatafuta bidhaa za watu wengine na unaziuza kwa commission (dalali).
Mfano:
Mtu anauza nguo
Wewe unapost nguo hizo kwenye status ya WhatsApp, Facebook au Instagram
Ukileta mteja, unapata commission yako.
π Huhitaji mtaji, huhitaji kununua stock.
Faida:
Ukiuza bidhaa yenye faida ya Tsh 5,000 mara 2 kwa siku β tayari umepata elfu 10.
Kila mtu anaweza kuanza hii njia leo!
2. KUUZA DIGITAL PRODUCTS ONLINE
Digital products ni bidhaa ambazo hazihitaji kuhifadhiwa dukani.
Mfano wa digital products:
π Ebooks (vitabu vya PDF)
π Courses za online
π Templates za CV, cover letter
π Audio lessons
π Software / apps
Unaweza kutengeneza au kununua tayari na kuuza.
π Unaweka kwenye link au kwenye shop ya mtandaoni.
π Mtu akinunua, anapewa link ya kudownload.
Mfano: Ukiuza ebook ya Tsh 5,000 na watu wawili wakinunua kwa siku β tayari elfu kumi mkononi.
Hii njia inalipa sana na ni scalable (unaweza kukuza kwa urahisi).
3. KUTOA HUDUMA MBALIMBALI (SOCIAL MEDIA MANAGEMENT & CONTENT CREATION)
π Biashara nyingi Tanzania hazijui kutumia vizuri mitandao ya kijamii.
π Hata maduka ya kawaida wanahitaji mtu wa kuwasimamia akaunti zao.
Huduma unazoweza kutoa:
π Kusimamia Facebook page ya biashara
π Kuandaa content (picha, video, maandiko)
π Kuandaa post za Instagram
π Kujibu comments/messages kwa niaba ya biashara
Content Creation:
π Kutengeneza video za TikTok
π Kupiga picha nzuri za bidhaa
Hii huduma inalipwa vizuri sana:
π Unaweza kuchaji Tsh 50,000 hadi 200,000 kwa mwezi kwa kila mteja.
π Ukiwa na mteja mmoja tu β tayari unaweza kuvuna elfu kumi kila siku.
4. KUFANYA FREELANCING KUPITIA UPWORK NA FIVERR
Hii ni njia ya kupata wateja wa kimataifa π.
π Unafungua akaunti kwenye:
Upwork
Fiverr
Unatoa huduma kama:
π Kuandika makala
π graphics design
π Kutafsiri lugha
π Video editing
π Kuandika CV na cover letter
π Kutengeneza websites
Mfano:
π Ukiweza kupata kazi ya $10 kwa siku (karibu Tsh 26,000) β tayari unazidi elfu kumi.
π Ukiwa na bidii, unaweza kuingiza hadi Tsh 50,000 kwa siku.
Unahitaji kujifunza vizuri jinsi ya kuanza, lakini ukianza inalipa sana!
5. KUWA AGENT WA KUUZA BUNDLE ZA MITANDAO YA SIMU
π Hii ni njia rahisi sana, watu wengi hawajui kama unaweza kutengeneza pesa hapa.
Unakuwa wakala wa kuuza bundle za internet kwa marafiki zako, ndugu zako na wateja wengine.
Mfano:
π Bundle za internet za voda
π Bundle za sms
π Bundle za dakika
Unanunua bundle kwa bei ya jumla au kupitia agents, halafu unauza kwa bei ya reja reja.
Mfano wa faida:
π Faida Tsh 500 kwa bundle moja
π Ukiuza bundle 20 kwa siku β tayari elfu kumi umeshafikisha.
Hii unaweza kufanya hata ukiwa nyumbani tu β kupitia simu yako!
Simu yako siyo kwa kuscroll TikTok tu! π
π Simu yako ni mashine ya kutengeneza pesa.
π Anza na njia moja.
π Jifunze polepole.
π Kua na subira β pesa haziingii kwa usiku mmoja, lakini zitaingia!