Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Kuna sehemu nimekaa naskia watu wanajadili kwamba kuna uwezekano wa mwanamke kupata watoto mapacha kwa kutumia unga wa soya na pilipili manga kwa wingi hii hupelekea mayai ya mwanamke kuwa makubwa na kugawanyika mara mbili jambo ambalo linaweza kupelekea endapo mbegu za mwanaume zitaingia kusababisha twins....nimejiuliza sana hii sayansi ya wapi hii mana kwenye biology sijawahi kusoma hii kitu....imekaaje hii wadau? maana hakuna linaloshindikana chini ya jua