Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
mana pia niliwahi kuona wazee wakisukuma wakifanya mambo yao ili mbuzi wazae mapacha asee na ni kweli kabisa baada ya muda mbuzi mimba na uzao wake ukawa mapacha nikasema tobaaa Ngosha sio watu wazuri kabisaaHuenda ni kweli
ili iweje?Fanya experiment kimya kimya hapo kwenu.
Rafiki mume wako ameshaanza kukunyanyasa nije kuzibua tundu?Kwahiyo hakuna jibu?