Njia ya kubaki salama kwa wamiliki wa biashara pindi biashara inapofilisika dhidi ya madeni

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
424
Reaction score
950
Habari zenu wanaforum hii
Hakuna jambo jema na lenye furaha kama kuwekeza katika biashara au ujasiriamali na mambo yakakuendea vema kwani mafanikio ni ndoto na malengo ya kila mmojawetu pindi anapoamua kuwekeza, hakuna anaependa neno hasara au kufilisika kwani unakuwa umewekeza rasilimali fedha, maarifa na muda pia.

Lakini si kila anaeingia katika uwekezaji huweza "kutoboa" na kufikia kilele cha mafanikio yake atakayo. Tafiti zisizo rasmi zinaonyesha ya kwamba katika miaka mitano ya kwanza ya biashara nyingi zinazoanzisha asilimia 15 (15%) hufilisika ndani ya mwaka wa kwanza wa uwekezaji na asilimia hamsini tu (50%) ndiyo huweza kufika na kuvuka miaka mitano ya awali toka zianzishwe, asilimia thelathini na tano (35%) hufilisika kati ya mwaka wa pili hadi wa tano toka kuanzishwa kwake.

Hivyo ukiona umeanzisha biashara au ujasiriamali na toka kuanza kwako umevuka miaka mitano ya awali basi huna budi kujipongeza!
Zipo sababu nyingi zinazochangia kama uzoefu, ujuzi, kukosa watu sahihi, gharama za uwekezaji, mzunguko wa biashara nk.

Kwa leo napenda tuangalie je utabaki salama wewe mmiliki wa biashara dhidi ya madeni na mambo mengine kwa biashara yako inapofilisika?
Hebu tuangalie baadhi ya njia hizo:
1. Jitenge na biashara yako kisheria
Kuanzisha biashara kwa mtindo wa umiliki wa peke yako (sole proprietor) au kwa kushirikiana (partnership) ni rahisi sana na wenye gharama nafuu. Lakini mfumo huu hauwezi kukutenganisha na biashara yako pindi inapotokea majanga kama kufilisiwa kwani hakuna mpaka wa umiliki uliopo baina ya mali zako na wewe mmiliki binafsi. Hivyo basi ili ujitenge na janga la namna hii badili mfumo wa umiliki. Anzisha biashara lakini katika mfumo wa kampuni yenye ukomo (Private company limited by shares) kwanikampuni husimama kama "entity" inayojitegemea tofauti na wamiliki. Iwapo linapotokea janga la kufilisika bhasi wadeni wako watachukua mali za kampuni na sio zako binafsi

2. Usijitoe dhamana kwa mali yako binafsi
Hii mara nyingi hutokea katika masuala ya mikopo. Unakuta mwanahisa mmojawapo anaamua kutoa dhamana binafsi kama nyumba nk kwa ajili ya kuisapoti kampuni kuwezeshwa kifedha eg mkopo nk. Sasa kampuni inapokuja kushindwa kulipa mkopo au kufilisika dhamana yako binafsi nayo itabebwa. Acha kampuni ijisapoti yenyewe katika masuala ya kuwezeshwa.

3. Epuka kuwafanya wanafamilia/rafiki kuwa watendaji wakuu wa biashara yako labda wawe wanajua masuala ya biashara kwa ujumla wake
Ukifuatia kwa makini utaona katika Watanzania 5 wanaoanzisha biashara katika muundo wa kampuni zenye ukomo ni Mtanzania 1 tu anaekubali kuanzisha kampuni ya namna hiyo na mtu asiye na nasaba naye. Si vibaya kuanzsisha au kuweka wanahisa na watendaji wakuu wa kampuni kuwa wanafamilia au marafiki lakini je wanaufahamu juu ya nini wanachoenda kusimamia? Je biashara ikifilisika wanatambua nao wanawajibika binafsi katika kuhakikisha haki za wadeni zinalipwa? Hakikisha basi wawe wanajua A,B, Che za uendeshaji biashara na uwajibikaji juu ya madeni na mengineyo

4. Tumia wataalam wa biashara inapobidi
Jitahidi kuwatumia na kuwashirikisha wataalam mbalimbali katika biashara zako kujitenga na changamoto za biashara pindi inapofilisika.
Mfano mtumie mwanasheria kwa kila kielelzo unachoandaa au unachoweka kama dhamana kuisapoti biashara yako. Vilevile si vibaya kama utajisajili katika mamlaka za ufilisi na usajili wa mali, kwa Tanzania ni RITA (kama zipo mamlaka nyingine ongeza. hivyo hta kama biashara yako imefilisika wadenui wako watalipwa kwa utaratibu mzuri ulio chini ya usimamizi wa mamlaka husika na huwezi kuguswa mali zako binafsi

5. Jitangaze umefilisika kisheria
Wafanyabiashara wengi huona ni fedheha kubwa kutangaza hadharani kuwa biashara au kampuni yake imefilisika na kudhani ataifunga biashara au kampuni kienyeji/kinyemela na hatimaye wadeni watapotezea madeni. Hii sio rahisi kama tunavyodhani. Kampuni/biashara yako haiwezi kufungwa kirahisi kisheria kama bado ina madeni. Vilevile kuna changamoto kuu kwamba unaweza kuuza mali na kuwalipa wadeni lakini bado madeni yakawa hayajaisha na wadeni sio rahisi kuamini kuwa mali zimeisha zote hivyo hurudi katika mali zako binafsi kufidia madeni yao.
Sasa kama ulijisajili katika mamlaka yoyote iliyosajiliwa au mahakama itasimamia taratibu zote kisheria ikiwa pamoja na kutangaza na taratibu nyingine zoote za kuwalipa wadeni wako ilhali wewe upo "comfortable" dhidi ya kufilisika kwa biashara yako.
Karibuni tupeane maarifa zaidi
 
Umeweza niongezea kitu kizuri sana kwenye ubongo wangu
 
Niongezee hapo ktk namba 1. Kampuni ambayo iko limited by shares, yaani ina hisa na wanahisa...inapotokea kuwa iko hatarini kufilisiwa kutokana na kushindwa kulipa madeni (insolvency, whether cashflow or balance sheet).....kitendo kijulikanacho kama winding up.

Basi wanahisa watawajibika tu kwa kiwango cha hisa ambazo bado walikuwa hawajazilipia. Hii inakuwaje?

Mtu anapopewa hisa na kampuni, itafika kipindi kampuni itahitaji kupata fedha kutoka kwa wanahisa ili zikafanye projects za kampuni. Hii huitwa call of shares. Na kila call haitakiwi ku exceed robo ya hisa zote.

Mfano mtu ana hisa 50 za kumpuni fulani..lakini kampuni ilipomtaka azilipie akawa amelipia 30 (paid up shares), 20 zikawa hazijalipiwa(unpaid shares)....ikitokea kampuni inafilisiwa basi mali za kampuni zitatumika kufidia madeni...lakini pia wanahisa ambao walikuwa hawajalipia hisa zao zote, watawajibika kulipia sehemu ya hisa ambayo hawajailipa(unpaid shares) ikawalipe wadai (creditors).

Kwa mfano wa awali, yule mwanahisa mwenye hisa 50, lakini hakuwa amelipia hisa 20 atalipia thamani ya hisa 20 ikitokea kampuni inafilisiwa...lakini kama alikuwa ameshazilipia hisa zote 50, basi hatowajibika ktk ktk madeni yoyote ya kampuni, unless kama alitumia mali zake binafsi ku guarantee mikopo ya kampuni.

Kwa hiyo hata ukiwa mwanahisa kwenye kampuni, na umejificha chini ya mwavuli wa limited liability...bado unaweza kuwajibika kulipa madeni ya kampuni kwa kiwango cha hisa zako amba bado ulikuwa hujazilipia.
 
Safi sana Mkuu Tempus Fugit kwa maelezo mazuri!
 
Ujumbe mzuri sana japokuwa nilitegemea kuona ukiyazungumzia haya maKodi ya JPM maana yamekuwa shetani jipya la kuua biashara.
Suala la kodi halijaanza ktk utawala wa Mheshimiwa Rais J. P Magufuli bali lilikuwepo kabla. Suala lililokuwepo ni kuwa wafanyabiashara wengi waliakuwa:
1. Hawalipi kodi zaidi ya kufanya biashara kijanja hvy kuwa na malimbikizo ya kodi
2. Wale wafanyabiashara wakubwa walukuwa kama mahesabu wanapeleka yalikuwa na mapungufu hvy baada ya kufanyiwa 'tax examination' mapungufu hayo yalidhihiri! Hivyo kujikuta kuwa na madeni ya miaka ya nyuma

Je nini Mheshimiwa Rais Magufuli alifanya?
Baada ya kukaa na wafanyabiashara mbalimbali na Baraza la Biashara Tz ilikubalika adhabu na riba zote zifutwe kwa kila mwenye shida ya madeni ya nyuma aombe. Msamaha huu umeisha tarehe 30.11.2018 kwa hy walitakiwa kuomba na kulipa kodi halisi tu

Je utawala huu unafanya nini sasa?
Umesimamia sheria za kodi kama zilivyo hvy kutotoa nafasi au mianya ya ukwepaji wa kodi. Matokeo yake kodi zinaonekana nyingi lkn ukweli zilikuwepo
Rejea mada hii utaona sheria za kodi na miaka zilizopitishwa
MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara - JamiiForums

Je wananchi tunasemaje?
Kwa upande wetu tunaona elimu ya kodi bado haijawa vema kwa sisi Watanzania hivyo kujikuta tunaona kuna changamoto nyingi sana za kodi.

Nini kifanyike?
1. Elimu juu ya kodi ianzishwe ikiwezekana toka ngazi ya chini mpaka ngzi za juu ya elimu.
2. Taasisi husika ie TRA waongeze madarasa ya hadhara juu ya utoaji wa elimu ya kodi.
3. Wafanyakazi wa taasisi husika ie TRA wasiwapige faini wafanyabiashara kwa japo hata kosa ni dogo bali wajikite ktk kuwaelimisha
 
Habari zenu wanaforum hii
Hakuna jambo jema na lenye furaha kama kuwekeza katika biashara au ujasiriamali na mambo yakakuendea vema kwani mafanikio ni ndoto na malengo ya kila mmojawetu pindi anapoamua kuwekeza, hakuna anaependa neno hasara au kufilisika kwani unakuwa umewekeza rasilimali fedha, maarifa na muda pia.

Lakini si kila anaeingia katika uwekezaji huweza "kutoboa" na kufikia kilele cha mafanikio yake atakayo. Tafiti zisizo rasmi zinaonyesha ya kwamba katika miaka mitano ya kwanza ya biashara nyingi zinazoanzisha asilimia 15 (15%) hufilisika ndani ya mwaka wa kwanza wa uwekezaji na asilimia hamsini tu (50%) ndiyo huweza kufika na kuvuka miaka mitano ya awali toka zianzishwe, asilimia thelathini na tano (35%) hufilisika kati ya mwaka wa pili hadi wa tano toka kuanzishwa kwake.

Hivyo ukiona umeanzisha biashara au ujasiriamali na toka kuanza kwako umevuka miaka mitano ya awali basi huna budi kujipongeza!
Zipo sababu nyingi zinazochangia kama uzoefu, ujuzi, kukosa watu sahihi, gharama za uwekezaji, mzunguko wa biashara nk.

Kwa leo napenda tuangalie je utabaki salama wewe mmiliki wa biashara dhidi ya madeni na mambo mengine kwa biashara yako inapofilisika?
Hebu tuangalie baadhi ya njia hizo:
1. Jitenge na biashara yako kisheria
Kuanzisha biashara kwa mtindo wa umiliki wa peke yako (sole proprietor) au kwa kushirikiana (partnership) ni rahisi sana na wenye gharama nafuu. Lakini mfumo huu hauwezi kukutenganisha na biashara yako pindi inapotokea majanga kama kufilisiwa kwani hakuna mpaka wa umiliki uliopo baina ya mali zako na wewe mmiliki binafsi. Hivyo basi ili ujitenge na janga la namna hii badili mfumo wa umiliki. Anzisha biashara lakini katika mfumo wa kampuni yenye ukomo (Private company limited by shares) kwanikampuni husimama kama "entity" inayojitegemea tofauti na wamiliki. Iwapo linapotokea janga la kufilisika bhasi wadeni wako watachukua mali za kampuni na sio zako binafsi

2. Usijitoe dhamana kwa mali yako binafsi
Hii mara nyingi hutokea katika masuala ya mikopo. Unakuta mwanahisa mmojawapo anaamua kutoa dhamana binafsi kama nyumba nk kwa ajili ya kuisapoti kampuni kuwezeshwa kifedha eg mkopo nk. Sasa kampuni inapokuja kushindwa kulipa mkopo au kufilisika dhamana yako binafsi nayo itabebwa. Acha kampuni ijisapoti yenyewe katika masuala ya kuwezeshwa.

3. Epuka kuwafanya wanafamilia/rafiki kuwa watendaji wakuu wa biashara yako labda wawe wanajua masuala ya biashara kwa ujumla wake
Ukifuatia kwa makini utaona katika Watanzania 5 wanaoanzisha biashara katika muundo wa kampuni zenye ukomo ni Mtanzania 1 tu anaekubali kuanzisha kampuni ya namna hiyo na mtu asiye na nasaba naye. Si vibaya kuanzsisha au kuweka wanahisa na watendaji wakuu wa kampuni kuwa wanafamilia au marafiki lakini je wanaufahamu juu ya nini wanachoenda kusimamia? Je biashara ikifilisika wanatambua nao wanawajibika binafsi katika kuhakikisha haki za wadeni zinalipwa? Hakikisha basi wawe wanajua A,B, Che za uendeshaji biashara na uwajibikaji juu ya madeni na mengineyo

4. Tumia wataalam wa biashara inapobidi
Jitahidi kuwatumia na kuwashirikisha wataalam mbalimbali katika biashara zako kujitenga na changamoto za biashara pindi inapofilisika.
Mfano mtumie mwanasheria kwa kila kielelzo unachoandaa au unachoweka kama dhamana kuisapoti biashara yako. Vilevile si vibaya kama utajisajili katika mamlaka za ufilisi na usajili wa mali, kwa Tanzania ni RITA (kama zipo mamlaka nyingine ongeza. hivyo hta kama biashara yako imefilisika wadenui wako watalipwa kwa utaratibu mzuri ulio chini ya usimamizi wa mamlaka husika na huwezi kuguswa mali zako binafsi

5. Jitangaze umefilisika kisheria
Wafanyabiashara wengi huona ni fedheha kubwa kutangaza hadharani kuwa biashara au kampuni yake imefilisika na kudhani ataifunga biashara au kampuni kienyeji/kinyemela na hatimaye wadeni watapotezea madeni. Hii sio rahisi kama tunavyodhani. Kampuni/biashara yako haiwezi kufungwa kirahisi kisheria kama bado ina madeni. Vilevile kuna changamoto kuu kwamba unaweza kuuza mali na kuwalipa wadeni lakini bado madeni yakawa hayajaisha na wadeni sio rahisi kuamini kuwa mali zimeisha zote hivyo hurudi katika mali zako binafsi kufidia madeni yao.
Sasa kama ulijisajili katika mamlaka yoyote iliyosajiliwa au mahakama itasimamia taratibu zote kisheria ikiwa pamoja na kutangaza na taratibu nyingine zoote za kuwalipa wadeni wako ilhali wewe upo "comfortable" dhidi ya kufilisika kwa biashara yako.
Karibuni tupeane maarifa zaidi
Thank you....
 
Madini safi haya.
 
Back
Top Bottom