Njia ya kubana matumizi

Njia ya kubana matumizi

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,391
Reaction score
1,347
Katika harakati zangu za kubana matumizi ili nitimize malengo yangu, nimegundua njia pekee ni kuachana na wanawake na kubaki na msichana mmoja ambae mpaka sasa hivi sijampata.

Nimeachana na wasichana 7, maana wote nilikua nikiwahudumia, takribani wiki sasa sipo kwenye mahusiano, inshort matokeo nayaona maana hela inakaa sasa, ukiachana na yake mambo ya kulala na wanawake 48 ndani ya miaka minne,

Wanawake wanamalizahela.
 
Hebu leta number ya ex wako
Mmoja ambae hufkirii kumrudia
 
Kumiliki wanawake wake wengi bila kuwahudumia ni mambo ya O-level na Primary huko, ukishaanza kudate na wanawake wamaana unatakiwa uwe na hela za kutosha.

Kwahiyo kama nado haujawa na hela extra za kupoteza, tafuta mwanamke mmoja atakae kuielewa na kukupenda. Hiyo haimaanishi kuwa hela hazitakutoka, ila ltapunguza matumizi ya ajabu.

Yani bado unatafuta maisha, unapata wapi guts za kumiliki wanawake 7?Kote huko unatafuta mbususu tu, au kuna mengine?
 
2778003_2770320_2754471_JamiiForums-1361292337.gif
 
Back
Top Bottom