Njia ya kufyeka shamba jipya kwa tractor

Njia ya kufyeka shamba jipya kwa tractor

NR'S

Senior Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
106
Reaction score
12
naleta kwenu Hoja...ya maelekezo ni gear gani or equipment gani ninunue iliiniwezeshe kufyeka Shamba jipya lenye miti midogo kwa tractor
1:YouTube nimeona hii gear inaitwa bush hogg....
Please mwenye idea please kutumia watu ni bei kubwa
Picture 1 niana ya gear
Picture 2 Shamba lenyewe

Screenshot_20220907-181114_Alibabacom.jpg
Screenshot_20220907-190119_Gallery.jpg
Screenshot_20220907-190103_Gallery.jpg
 

Attachments

  • 20220903_133510.mp4
    34.3 MB
  • 20220903_133510.mp4
    34.3 MB
Hiyo mashine haifai kwa kusafishia shamba lako. Hiyo mashine ni kwa ajili ya kufyekea nyasi, n vichaka vidogo dogo. Kwenye mashamba ya mkonge zinatumika sana hizo. Ila shamba jipya lenye mapukuti makubwa kama hilo shamba lako, haifai. Bora uweke vibarua tu.

Zipo mashine zinazoweza kutumika kusafishia shamba kama lako. Ni gharama zaidi
 
Back
Top Bottom