Njia ya Kununua DOMAIN online kwa kutumia Credit Card (kadi ya benki)

Njia ya Kununua DOMAIN online kwa kutumia Credit Card (kadi ya benki)

Tofauty

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
25
Reaction score
16
Nimekuwa nikiendesha blog yangu ya TOFAUTY BLOG (www.tofauty.ga) Lakini kulingana na jina hilo la .ga nikataka kulibadilisha liwe www.tofauty.com nikaweka hela benki kwa ajili ya kuweza kununua domain lakini nimeshindwa kununua kwani wananiambia card yangu hairuhusiwi kufanya biashara ndani ya mtandao. embu mwenye experience kwenye hili suala anielezee nifanyeje ili niweze kununua.
 
Siku hizi hamna kelele nyingi. Tumia M-Pesa mastercard.
 
Nimekuwa nikiendesha blog yangu ya TOFAUTY BLOG (www.tofauty.ga) Lakini kulingana na jina hilo la .ga nikataka kulibadilisha liwe www.tofauty.com nikaweka hela benki kwa ajili ya kuweza kununua domain lakini nimeshindwa kununua kwani wananiambia card yangu hairuhusiwi kufanya biashara ndani ya mtandao. embu mwenye experience kwenye hili suala anielezee nifanyeje ili niweze kununua
thanx it is the best prog.
 
Mkuu Tofauty naomba unijulishe zaidi juu ya kununua domain nimefanikiwa tu kufungua blog lakini bado cjafanikiwa zaidi mbele kwenye hayo mambo ya domain na je vp kuhusu ile mil2 ya TCRA,napenda pia nami kuwa brogger na pia natanguliza shukrani zangu...Asante
 
Ukiwa brogger utaishia kutuandikia utumbo kwenye blog

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu nenda kaione bank iliyo karibu nawe uwambie kuhusu unachotaka kukifanya si kila master card tunaweza ilipia nyingine mapaka ziruhusiwe kufanya hivyo na bank husika
 
Back
Top Bottom