Na assume wewe ni mkazi wa Tanzania.link ya hiyo app plz
thanx it is the best prog.Nimekuwa nikiendesha blog yangu ya TOFAUTY BLOG (www.tofauty.ga) Lakini kulingana na jina hilo la .ga nikataka kulibadilisha liwe www.tofauty.com nikaweka hela benki kwa ajili ya kuweza kununua domain lakini nimeshindwa kununua kwani wananiambia card yangu hairuhusiwi kufanya biashara ndani ya mtandao. embu mwenye experience kwenye hili suala anielezee nifanyeje ili niweze kununua
Ukiwa brogger utaishia kutuandikia utumbo kwenye blogMkuu Tofauty naomba unijulishe zaidi juu ya kununua domain nimefanikiwa tu kufungua blog lakini bado cjafanikiwa zaidi mbele kwenye hayo mambo ya domain na je vp kuhusu ile mil2 ya TCRA,napenda pia nami kuwa brogger na pia natanguliza shukrani zangu...Asante