Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
Kama heading inavyojieleza hapo juu mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nilipimwa afya tangu 2012 nikaambiwa niko postive na nikaanziishiiwa dawa sasa inaniwia vigumu kupata mke wa kuoa kwa sababu napatwa na huruma nisije kumuuambukiza mtoto wa watu kwangu naona itakuwa dhambi kubwa wakati huo umrii nao unaniacha sina mtoto wala mke naombeni ushauri niko njia panda.