Ni kweli huwa wapo bt binafsi huwa akili yangu inavurugika sana nikishafika pale akili yangu huwa inavurugiika sana ila itabidi nifanye hivyo hamna namna tena....Pole kwa tatizo je unapoenda kuchukua dawa hujakutana na warembo kwenye foleni wenye hali kama yako??
Fanya hivyo mkuu ukishindwa nitafute nikukuwadieNi kweli huwa wapo bt binafsi huwa akili yangu inavurugika sana nikishafika pale akili yangu huwa inavurugiika sana ila itabidi nifanye hivyo hamna namna tena....
Vp kunauwezekano mtoto akatoka bila vvu?Pole kwa tatizo je unapoenda kuchukua dawa hujakutana na warembo kwenye foleni wenye hali kama yako??
Ndio mpendwaVp kunauwezekano mtoto akatoka bila vvu?
Na jee kuna uwezekano jamaa akasex na mwanamke asiye na ukimwi... Na huyo mwanamke asipatwe na ukimwi?Ndio mpendwa
kichwa cha habar ni tofauti na maelezo yako ila nilicho kuelewa ni kwamba unaitaj mpenzi Sasa Je, umeisha mpata mpenzi? kama unae anajua aliako? nandio wapo wengi tu pale wanakuja na watoto wasio na maambukizi kikubwa ni kufuata maagizo ya madaktari
Asante mkuu..Usiwe na hofu ila kubaliana tu na hali yako , nenda kwa dactari atakuelekeza kila kitu , mwanamke utapata na mtoto asiye na VVU utapata . Nakutakia maisha marefu yenye mafanikio