Unajua DRC inabidi aige model ya Iran na Russia-hiyo ndio survival yao vingenevyo watachezewa na mataifa mengine kama mpira miaka nenda miaka rudi.
Moja ya matatizo makubwa kati ya Nchi ya Irani au Urusi na mataifa ya mengine hasa ya magharibi ni Rasilimali walizo nazo hao jamaa.Ukiangalia Russia ndio Nchi pekee Duniani inayoongoza kuwa na Rasilimali nyingi Duniani,hivyo hivyo kwa Irani inaongoza Duniani kuwa na reserves za mafuta na gas.
Mababeru walitumia kila njia kuziweka hizo Nchi under control tokea miaka hiyo mpaka Leo,but kupitia viongozi wao wameendelea kuwa imara.
DRC Congo haina utofauti wa hizo Nchi 2,matatizo yao yanatokana kuwa resources nyingi za kila aina hivyo wanagombanishwa na external countries.
Solution pekee ni waingia ushirika na Nchi kama Russia au Irani wajiweke vizuri kijeshi kupambana na Nchi yoyote-ni long process but itawaondolea matatizo yote vinginevyo zitakuwa ndoto za mchana Congo kuja kuwa na aamani.
Russia na Iran hawakusaidii kuwa bora kijeshi , kwann Russia hakuwasaidia former soviets kuwa bora kijeshi ? waafrika bado mna mentality za omba omba
Ila mkizingatia haya mtatoboa
+Acheni uroho wa madaraka
+Acheni au punguzen Umimi/ubinafsi/Disunity i e udini , ukabila , ukanda , classes ( economic status + educational level + understanding level + exposure level ) , uchama etc
+Rushwa
+kupenda vya dezo
+Kuheshimiana
+Uzalendo wa kwel
+ Kila mwananchi kujua wajibu wake kisiasa , kijamii na hata kiuchumi i.e
*kisiasa ( kushiriki kikamilifu kweny chaguzi zozote na kuepuka ma kuzuia yeyote ambae anavuruga shughuli za uchaguzi ama rushwa au anaetumia hoja za kikabila au udini au kikanda kumtangaza mgombea wake ) ,
*kijamii ( swala la ulinzi wa watu na mali zao , usalama wa afya na elimu na ni jukumu la wananchi maana wao ndo serikali hapa tunaona wananchi wengi wanaachia wale wachache walihodhi nadhifa kwa ajili ya wengi wao ndo wabebe kila jukumu mf shule ina uhaba wa walimu basi wananchi watoe mchango wao au kuna kituo cha afya pia wananchi wanaeza jenga majengo na serikali wakilishi ikaweka dhana na wataalamu )
*Kiuchumi ( wananchi lipeni kodi na ushuru ili azina ya nchi iwe na akiba ya kutosha kwa huduma za kijamii na maboresho ya maeneo ya makazi au maofisini pamoja na huduma nyingine za kijamii , sio kusema migodi , maziwa na misitu ndo iwe tegemezi wkt huko tunapewa % ya kinachovunwa na wawekezaj
+Cha mwisho walihodhi madaraka au uwakilishi basi wanapaswa kutambuana kuheshimu na kuishi katiba ya nchi husika , kama kuna madai ya maboresha , njia sahihi zifuatwe ili iboreshwe katiba ya nchi husika
+Kama katiba ya nchi husika inatambua democracy kama mhimili wa siasa basi zile principles of democracy zifuatwe
DRC IKIFANYA HATA NUSU YA HAYA ITAPIGA HATUA KUTOKA HAPA WALIPO MAANA HATA HAO WABELGIJI WANAFUATA HAYA