Kuna style moja nimewahi kusikia eti mtu anataka akamatwe anajipaka mavi binadamu wanaogopa kumkamata.hivi tukio kama hilo nilakawaida au mhusika anakuwa Ana matatizo ya akili?

Kaulize pale mahakama ya hakimu mkazi morogoro kuna mtuhumiwa alijipaka mavi akatoka nduki alifukuziwa na manjemba fulani yaliyovaa kiraia mpaka akakamatwa na mimavi yake