kabiriga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 1,109 Reaction score 1,171 Feb 14, 2013 #1 Naomba kupatiwa njia ya kutumia kalenda kupanga uzazi,kwani vidonge ,vijiti,kitanzi nk nasikia si salama kwa baadhi ya aki,nkmama.
Naomba kupatiwa njia ya kutumia kalenda kupanga uzazi,kwani vidonge ,vijiti,kitanzi nk nasikia si salama kwa baadhi ya aki,nkmama.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 14, 2013 #2 Taja idadi ya siku za mzunguko wako, halafu pia taja siku unazokuwa kwenye hedhi. Hii itaturahisishia kazi kuliko kueleza kwa ujumla.
Taja idadi ya siku za mzunguko wako, halafu pia taja siku unazokuwa kwenye hedhi. Hii itaturahisishia kazi kuliko kueleza kwa ujumla.