Njia ya uzazi wa mpago kwa kalenda

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,109
Reaction score
1,171
Naomba kupatiwa njia ya kutumia kalenda kupanga uzazi,kwani vidonge ,vijiti,kitanzi nk nasikia si salama kwa baadhi ya aki,nkmama.
 
Taja idadi ya siku za mzunguko wako, halafu pia taja siku unazokuwa kwenye hedhi.
Hii itaturahisishia kazi kuliko kueleza kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…