Njia yangu haikuwa rahisi na bado sio rahisi

Njia yangu haikuwa rahisi na bado sio rahisi

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
Maisha kwa kweli yanahitaji ujasiri sana, nakumbuka nilikotoka, jinsi nilivyosurubika nikiwa sekondari hadi namaliza kidato cha 6 nilikuwa nimechoka sana, mwaka 2011 ndo nilipohitimu kidato cha 6 ikanibidi nikae mtaani nikifanya vibarua vya kila aina na kujianzishia miradi mbalimbali ndipo mwaka huu nikaweza kuchukua vyeti vya sekondari baada ya kumaliza madeni ya ada niliyokuwa nadaiwa.

Bila kukata tamaa na wala kujua itakuwaje nikaomba chuo cha diploma ya afya kupitia NACTE nikakosa baada ya kutoka chaguo la kwanza, katika maisha niliyoishi nikakumbuka kuna mtu nimewahi kukutana naye nikamweleza nia yangu ya kusoma akanambia yeye msaada wake ni kunitafutia chuo hatimaye nikafanikisha chuo cha private(CO), bado maisha yananipeleka puta, mpaka sasa sijui ada nitapata wapi. Wadau yoyote mwenye njia au nia ya kunisaidia naomba ajitokeze.. nipo tayari kumwambia stori yangu yote, anaweza kunipata hapa 0782168784, maswali yote nitajibu. kama kweli una nia ya kunisaidia nitafute tuongee zaidi. AHSANTE.. mimi ni -ME
 
Mkuu Tyta njoo basi hapa kuna dogo keshatufanya sisi viazi vya njombe. Anza kwanza na hile thread yake ya "UKE WANGU UNANIUUMA"
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tyta njoo basi hapa kuna dogo keshatufanya sisi viazi vya njombe. Anza kwanza na hile thread yake ya "UKE WANGU UNANIUUMA"

mkuu kuwa mkweli au tuwe wakweli kutoka moyoni kabisa,hivi ni kweli wote humu wanawasilisha mawazo yao? sometimes unapata tatizo kutoka kwa mtu unamshauri tulipeleke jf maana huku kuna vichwa vingi, then unalileta na ili kulifanya liwe halisi unajivisha uhusika.. mbona hukumbushi thread zangu za kuomba msaada humu? ni wangapi humu nimewa-pm kuwaomba msaada tena watu maarufu? ina maana mkuu inavyoonekana huniamini.. ndo maana nimeweka namba hapo hata police station ukitaka nije ili tuongee unisaidie nakuja kama huniamini... mshukuru Mungu una wazazi waliokusomesha vizuri, unavyosikia dunia tambala bovu wew hujui kwasababu halijawahi kukudeki.. kwanin usipige simu hapo ukadadisi kama kweli una nia nzuri,, ok anyway "acha nilie na moyo wangu na labda Mungu aliyenifanya niwe maskini". UBARIKIWE MKUU
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom