mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Habari wakuu,
Hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza kuzifuata ili uondokane na madeni mwaka 2018. Madeni ni chanzo cha umaskini na kuua biashara za vijana wengi. Pia athari kama magonjwa ya moyo, msongo wa mawazo n. k
1. Andaa list ya madeni yako yooteeee.
2. Orodhesha na yatenge katika ma'group mawili, yapi yana umuhimu wa kulipa mapema na yapi yanaweza kusubiri-mfano kama umeweka dhamana na deni lenye riba hayo ni madeni yenye ulazimu wa kulipa haraka.
3. Orodhesha list ya matumizi yako yote kwa mwezi. Tenga matumizi katika yapi yana umuhimu mfano(kodi, ada, chakula n.k) na yapi hayana umuhimu(starehe, nguo mpya, tv mpya n. k)
4. Orodhesha list ya vipato vyako kwa mwezi.
5. Kaa chini andaa jeduali la madeni na gawanya sehemu mbili madeni ya muhimu kulipa na ambayo hayana uharaka. Jumlisha ya umuhimu ujue total yake.
6. Yavunje vunje kwa miezi sita au mwaka. Hakikisha kipato chako asilimia 45 unatenga budget kwa ajili ya kulipa haya madeni.
7. Chukua hilo Jedwali kawaonyeshe wadeni wako. Kaa nao chini na waambie kwamba una plan ya kuwalipa kwa style hyo hadi miezi sita iishe. Waambie ukweli kwamba hiyo ndo njia pekee ya kupata pesa yao ama sivyo wakienda mahakaman mdeni hafungwi. Ila wanaweza kupewa haki ya kuuza mali zako ulizoeka kisheria kama dhamana.
8. Hakikisha Unaweka bidii katika kutokugusa hela iliyotengwa kulipa madeni.
9. Anzisha tabia ya ku'save atleast 30% ya kipato chako na ukimaliza madeni yako hakikisha kuwa una'save 30%, 30% nyingine unawekeza na 40% inayobaki iende kwenye matumizi yako ya kawaida. (kodi, ada, umeme na nk.)
10. Hakikisha unajijengea nidhamu ya binafsi katika maisha yako. Kuwa na mipango, budget bila kutegemea madeni. Na epukana pia na vitu vya anasa. Pesa yako peleka katika kusave na kuwekeza hadi utapopata financial freedom na unaweza kutumia hela yako vizuri katika kujistarehesha na kununua kitu roho inataka kwani utakua una uhakika wa kupata compounding interest kila mwezi kupitia miradi tofauti tofauti uliyowekeza. Which means hata ukitumia una uhakika inarud week hyo hyo mara tano yake.
Nimalize kwa hii quote, "Debt is the slavery of the free" ~Publilius Syrus
Happy New Year 2018.