Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,180
- 2,454
Mkuu, upo sawa kabisa, nimesahau kidogo maana ni muda mrefu kidogo. Inawezekana kabisa nilitumiwa kupitia UPS but huenda nimechanganya na USPSMkuu ni tofauti na UPS nadhan hawa UPS kama Kama DHL.Je unazungumzia hawa USPS ambao ni shirika la posata?
mcheki Mwl. RCT yupo humuhumu nadhani shida yako atakutatulia vizuriTofauti na Banc ABC ni njia au bank gani naweza kutumia kufanya malipo? Lazima niwe na account maalumu?
Kwa uzoefu nilio Hao, kwenye hizo Bei hiyo ni range.. Means hapo kuna minimum Na maximum, jinsi unavyozidisha idadi ya t shirt ndivyo Bei inavyopungua kutoka maximum kuja minimum..Na shiling laki mbili nataka agiza T-shirt plain za bei rahisi nataza kwenye eBay naona wameandika ivi sijahelewa wana maana gani $3.45-6.45+$3 shipping hapo wana maana gani na je iyo hela ntapata T-shirt ngapi pamoja ukijumuisha na usafiri hadi tanzania
Card inatakiwa iwe master au visa Kwa bank kama Crdb unaenda Tawini kuna fomu unajaza ya kuiruhusu kwa PayPal wakati una link hukata kama dollars mbili ivi Unaenda benk unachukua statement utakuta na confirmation code kwa hio statement unaziweka paypalHivi nikitaka kufanya kadi yangu ya bank iwe inafanya online transaction ni njia gani natakiwa nifanye?
Je, kwa bank husika ili kufanikisha hili kuna makato yoyote wanakata?
Mkuu itabidi unisaidie maujanja kuhusu manunuzi eBay.kiukweli nimekua mtumiaji wa ebay kwa mda mwingi sana...wana option ya standard int'l shipping(kama haipo natafuta buyer anaeprovide hii)kwa $2.5 mzigo hauzidi siku 10 ushafika...
Vipi kama sina sanduku la posta jina La mtaa si linatosha sana mkuu au vipiMkuu hapokwenye street address 1 jaza Postal Address iliyokamilika na mtaa. Postal code mi huwa najaza dash (_). Address 2 ni optional
Kama una tracking number,nenda posta office dirisha namba nane watakuchekia kama mzigo wako umefika.Huu mzigo toka niagize mwezi wa nne tarehe 18 hadi leo bado haujafika aisee niliagiza Aliexpress kutoka China kwa njia ya Posta ndo unifikieView attachment 1092047
Equity Bank [emoji542] Cards zao ni VisaCard zinafaa kwa manunuzi yote mtandaoni...Tofauti na Banc ABC ni njia au bank gani naweza kutumia kufanya malipo? Lazima niwe na account maalumu?
Na mimi nasubiria jibu hapa....Vipi kama sina sanduku la posta jina La mtaa si linatosha sana mkuu au vipi
Vipi makato Yao na rate exchange yao.iko vipi? Kama nitanunua kitu Cha laki 2 naweza kulipia zaidi ya laki 2 na 20s ? Au chini ya hapo.MasterCard ya MPESA is the BEST in TOWN
Nani atakuletea mtaani kwako?Vipi kama sina sanduku la posta jina La mtaa si linatosha sana mkuu au vipi
Tumia mpesa mastercardInabidi tupate mtu atufafanulie hasa kwa sisi tunaotumia ma bank local kama NMB kuagizia mizigo
Mimi nimeagiza mzigo lakini niliweka address ambayo haina sanduku la posta . Now naambiwa mzigo umefika kwenye ciuntry of destination ila namba za simu niliweka , sijui inakuwaje hapoNani atakuletea mtaani kwako?
Njia rahisi ni kutumia sanduku la posta kama huna unatumia hata la shule, kanisa, au la mtu yyte unafahamiana naye.
Mzigo ukifika posta wanakupigia simu unaenda kuchukua mzigo wako. Kama kuna kodi unalipia