ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 588
- 208
Mkuu unaagizia wapi naomba kujuzwa pia niko mbeya nmejarbu kuagiza amazon nmeshindwa pia sina visa naomba kujua kuhusu mpesa mastercard
Amazon na eBay wanazingua na zile restrictions zao.
Eti hawaship Tz!!!
Ukiona wanaship basi ni zile bidhaa zisizo na gharama au zinazotokea china
Nilijaribu kuwabana sellers wanadai kwamba walipata hasara siku za nyuma Kwa upotevu wa parcel walizotuma Tz, so hata ubembeleze vipi jibu ni kwamba hawaship.
Over
Bei zao baba unaweza tamani kuutema mzigo.....Inawezekana ukiwatumia hawa myus mzigo unakufikia
Aksante sana Boss!Tumia *152*00# kisha utachagua namba 3 utapata postal code zote tanzania nzima ila kwa slp tumia ya sehem uliopo
Mkuu subiria kimyakimya inanukia kuletwa[emoji23][emoji23][emoji23] dah kazi kwelikweli. Mimi nakumbuka kuna mizigo niliagiza toka mwezi wa tatu jana nimepata michache mingine bado,nami nasubiria kimyakimya tu. Ila ninachoshangaa mizigo yote niliyoiagiza mwezi wa nne,tano au sita nimepata. Hii ya mwezi wa tatu ilishaletwa toka mwezi wa nne kwa mujibu wa tracking. Tuendelee kusubiri tu[emoji23][emoji23][emoji23]Mizigo yangu miwili ilingia yote DSM tarehe 29/09 na nikapokea mzigo mmoja huku wilayani nilipo tarehe 08/10. Mzigo mwingine mpaka leo sijaupata..
Je ntaulizia wapi taarifa za huu mzigo tofauti na hii posta ya wilayani..? au ni endelee kusubiria kimya kimya tu..
Tuelekezane bas jamani mzigo wangu naambiwa upo teali dar na utasafirishwa mda wwt nasubir kmy tu na nipo mkoaniVp kuhusu yale ma Zip code.?. na je, mzigo wangu utapo tumwa nita ujuaje pale ntapo ufwata posta?
ni bora uanze kuagiza vitu vidogodoga kwanza kuanzia dola 1
Kuna jamaa wapo pale dar free market wanaitwa “e-shop” wale ni rahisi sana kukuagizia na kukupokelea mzigo wako wanakutumia popote ulipo tz,chochote utakachoagiza uko ebay wanaleta
sitokuja kutumia FedEx mamaeee zaooBei zao baba unaweza tamani kuutema mzigo.....
Tena wanaship kwa UPS, DHL etc ni mkasi balaa
kulikoni [emoji28]sitokuja kutumia FedEx mamaeee zaoo