Hi
Leo tujadili kwa pamoja njia ambazo unaweza ukatumia kupunguza gharama wakati wa ujenzi
1. Kuchagua simple design(avoid complex design) au tuseme chagua ramani nzuri na rahisi haina makorokoro mengi , kwa kufanya hivi utaweza kuepuka makorido ambayo hayana umuhimu sana , zaidi ya kuongeza gharama . Ramani iwe simple lakn light na privacy lazima ziwe kipaumbele
2. Wakati wa kuchimba msingi cyo ukuta zote zinahitaji kuchimbiwa msingi so unaweza kuziepuka(non-load bearing wall) hii itasaidia kupunguza gharama wakati wa kujenga msingi . Usije ukaasume unajua make sure mtaalamu kakuonesha ipi ni ya kuchimba na ipi haina ulazima
3. Kama katika eneo lako mchanga ni nafuu kuliko mawe basi usitumie mawe , then badala yake weka kifusi, weka mchanga mwagia maji shindilia weka DPM , weka nondo zako za mkanda(ground beam) utumie mfumo mzuri wa maji safi na taka ambao ni cheap na arrangement iwe nzuri siyo bomba la kwenda kwenye septic tank linatembea mita 20 siyo vzr
NAOMBA ONGEZENI NYINGINE NYINGI
Wanaohitaji kupata ramani kwa cheap na ujenzi nafuu
Whatsup / call +255624004650