Njia Za Kutumia Ili Kuzoea Hali Ya Baridi

_rolex

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
37
Reaction score
8
Habari ndugu zanguni,

Kwa mlio wazoefu wa kukaa sehemu zenye baridi Naomb nifahamishe, njia mlizo au mnazotumia ili kuzoea na kukabiliana na hali ya hewa ya baridi katika mwili..

Maana kuna wakati huwa naisi barid adi nabaki kuseazy tu nashindwa kufanya mambo yangu,
 
Tafufuta "shuka" mjini jioni jioni ujifunike usikukucha, bei rahisi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…