Njia za Kuwaanda Watoto Wako kuja kuwa Wajasiriamali na si Mameneja

Njia za Kuwaanda Watoto Wako kuja kuwa Wajasiriamali na si Mameneja

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
NJIA ZA KUWAANDAA WATOTO WAKO KUJA KUWA WAJASIRIMALI,

Wana janvi ni ukweli usiopingika kwamba, SUCCESSIFUL ISGENERTIC, na Njia za kuanza Ujasirimali mara nyingi huanzia mbali sana,
Na kwa sisi huku Bongo leo hii tungekuwa mbali sana kamaWazazi wetu wangetuandaa kuja kuwa Wajasiriamali na si Vibarua wakusubiriamwisho wa Mwezi, Entreprenershi Spirit hujengwa kuanzia Utotoni na Tafitinyingi sana zinasema kwamba Watoto ndo wana uwezekano mkubwa wa kuibuka kujakuwa wajasirimali wazuri kuliko watu wazima
SABABU ZILIZO TUFANYA WENGI WETU TUOGOPE BIASHARA KAMA UKOMA
1, Histrioa ya Nchi yetu/ Ujamaa na kujitegemea
Ujamaa mara nyingihufanya watu wawe legelege sana wakitegenea kila kitu kifanywe na Serikali,kama mtakumbuka kwenye theory za Ujamaa ni Serikali kuwa ndo wafanya biasharaso MADUKA YA USHIRIKA NA ZANI TUNAYAKUMBUKA, Ujamaa hufanya watu wasiwewabunifu sana
Na hilo linza zisumbua hata nchi Kubwa kama URUSI, ila Chinailiwahi kushitukia hii ishu
2. WAZAZI WETU
Wazazi wetu walituandaa kuwa Wafanya kazi natena kufanya kazi Benki, kuwa mameneja na kazalika, hii ilijengeka katikavichwa vyetu na tuliamini tunasoma ili tuwe na kazi nzuri nah ii ndo story zahadi leo hii na kesho,
CHUKULIA MFANO WAHINDI, Je usha waona watoto wa WAHINDIvyuoni wakisoma kozi za kama Community Development, Esducation, Socilogy nakazalika? WAHINDI WANASOMA Acounting, Marketing, PROCUREMENT, IT na kazalika nahii husoma ili wakawasaidie wazazi wao kuendesha biashara

3. MAZINGIRA TUNAPOISHI
Tunako ishi/Majirani zetu/Ndugu/Marafiki na kazalika naowamechangia sana, Nyumbani WAZAZI NI WAFANYA KAZI NA WANA FUATWA NA MAGARI,Majirani ni WAFANYA KAZI, Marafiki ni WAFANYAKAZI, Ndugu zetu ni WAFANYA KAZI,
Kwa staili hii ni vigumu sana motto kuja kuwa Mjasirimalimake amezengukwa na Wafanyakazi na wanamuhimiza asome ili aajiriwe

4. SHULENI/ELIMU YETU
Shuleni nako walimu walikuwa wanatusisitizia tusome tujekuwa mameneja, Tyulikuwa tunakaririshwa theory mabalimbali, hili lilichnagia

5. SEREKALI YETU
Imekaa kijamaa sana, haipromote wajasirimali

NJIA ZA KUWAFUNDISHA KIDS WAJE KUWA WAFANYA BIASHARA WAKUBWA

1. ANZA KUWAPA KAZI ZA KUWALIPA NYUMBANI
Unaweza ukawa unawapa watoto wako kazindogo ndogo then unawapa pesa, Usizoeekuwapa watoto pesa bila kufanya kazi,
Unaweza ukawa unawaachia baadhi ya kazi zakuwajenga kama vile, Kujenga Mabanda ya Mbwa, Kilima Bustani, Kufyeka, Kufuga kuku, kulisha kuku, kulisha ngo,ome, nakazalika, hii itawafanya watoto waanze wajifunze kujitegemea na kuwa na hari yakufanya kazi


2. WAFUNGULIE WATOTO ACOUNT BENKI
Na kiasi kidogo wanacho pata wawewanakiweka benki na wawe wanajishugulisha na account zao na waambie hizo accountni kwa ajili ya wao baadae waje kuzitumia kujitegemea kwa kiuanzisha biasharazao wenyewe

3. WAPE WATOTO MASHINDANO NYUMBANI
Unaweza ukawa unawapatia watoto Mahindanombalimbali wakawa wanayafanya na anaye shinda anakuwa anapatiwa fedha na mashindano hayo yawe ni ya kuwajengakuwa wabunifu.
- Kuchora picha
- Kuunda magari ya mabati
- Kudizaini vitu mbali mbali
- Kutunga hadith
- Kucheza
- Kutengeneza Bustani, kufuga kuku

Hii itawasaidia sanawatoto kuwa na ari kushindana na ya kufanya zaidi na mashindano ni bora yakawa yana egemeakwa kila mtu anataka nini
4. WAHAMASISHE WATOTO WAFUATE IDEA/NDOTO ZAO

Kama motto ndoto zake ni kuja kuwa Engenearbasi muache aaanze akiwa mdogo na usimurazimishe kufanya kinyume na hapo,
Kama mtoto anapendelea kufuga kuku basi afuge, kama ni ngo,ombe basi afuge


Wasaidie kufikia hapo, na Mtoto kamaanapenda kuwa Fundi anaweza anza kwa kutengeneza hata vifaa vya nyumbani thenvya majirani and then vya mtaa, na msaidie kuandaa muongozo wa biashara yake namambo mengine ikiwemo matangazo na kazalika.

5. WAFUNDISHE KUFANYA KAZI KAMA TEAM/KWA USHIRIKIANO
Mtoto mfundishe kufanya kazi kama teama nasi kivyake vyake, hii itamsaidia hata akija kuwa Mjasirimali ajue jinsi yakufanya kazi na watu wengine ikiwemo Wafanya biashara wenzake, wafanya kazi nakazalika

6. UWEPO ILI KUWAPA MSAADA
Pamoja na kwamba watoto watakuwawanajifunza Ujasirimali ikiwemo kufuga kuku, Kilima bustan, kutengeneza pas zamajirani zenu , kuchora na kazailika inabidi wewe uwepo kuwasaidia, kujibumaswari yao na kazalika, Wasaidie kutatiua matatizo wanaya kumbana nayo katikaharakati zao, MFANO Mtoto anaweza pata kazi ya kutengeneza pas ya Jirani thenakaharibu so msaidie na si kumgombeza au kumpiga

7. WAFUNDISHE JINSI YA KUNZISHA VITU VYAO WENYEWE
Wafundishe kutafuta mawazo ya biashara nakuyafanyia kazi,Wasiwe ni watoto wa kuiga kila kitu, wafundishe kuwa wabunifu

8. WAPELEKE ZIARA ZA KUTAZAMA KILE WANACHO PENDA KUFANYA MAISHANI NA SI KUWAPELEKA DISCO
Kama toto wako anapenda sana kazi za Ufundiwa Electonic basi mara moja moja mpeleke kw amafundu wakubwa akaone laivu,aongee nao na awaulize maswari

Kama toto wako anataka kuwa Mfugaji wa Kukubasi mpeleke kwa wafugaji wakubwa akajifunze na aone lavu

Kama ni Mchoraji mpeleke mara moja moja kwawachoraji wakubwa,
Hii itawajengea sana hamasa ya kujifunzazaidi, Mtoto akiwa na wazo la kuwa Mfuga kuku ukampeleka Interchic akaona kukuwalivyo wengi hakika ni lazima apate kichaa ca kusonga mbele

TATIZO WAZAZI TUNAWAPELEKA WATOTO AUTUNAWAACHA WATOTO WAENDE KUTEMBEA MAHALI AMBAPO SIO

9. WAONYESHE NA WEWE UJASIRIMALI WAKO
Ni vizuri na wewe mzazi ukawa niMjasirimali make kama ni mtu wa mwisho wa mwezi itakuwa ngumu kidogo, makewatoto wanataka waone kutoka kwako na si wawe wanakuona unaletwa na gari lenyaSU au STK au SM watakuuliza na wanaweza na wao wakapata hamasa ya kuja kupandahayo magari one day

10. WAPE STORY ZA WAJASIRIAMALI WAKUBWA
Watoto wapewe story za wajasirimali wakubwakatika Tanzania hii na Dunia kwa ujumla, hiii itawasaidia sana kuwajengakiaklili

11. WANUNULIE VITABU VYA BIASHARA/MOVE ZABIASHARA/GAME ZA BIASHARA

Watoto wawe wanatazama vipindi vinavyoendana na wanacho taka, kama motto ana taka kuwa mbunifu wa Nguo basi kunaMove,vipindi vya television,vitabu na Game mtafutie

12. WAPELEKA KWENYE MASHINDANO YA WATOTO YA VIPAJIVYAO KAMA YAPO



13. USIWAVUNJE MOYO KWA KUWAAMBIA KWAMBA HIKIHAKIWEZEKANI
Mtoto anaweza kuja na wazo la KufugaSungura, Muache afuge usimwambie kwamba huku hakuna anaye kula Sungura,
Mtoto anaweza kuja na Ubunifu wa kuchoraramani za MAKANISA, usimwambie kwamba hakuna makinisa hapa bali kuna misikiti,no muache afanye kile anacho penda

Kwa kumwabia haiwezekani utakuwa unamvunjasana moyo

14. WAPELEKE WATOTO WAKATEMBELEE WAJASIRIMALI WATOTOKAMA WAPO
Hii itakuwa ni jambo la msingi sana kamautawapeleka kutembelea watoto wenzao ambao nao ni wajasirimali

15. WARUHUSU WATOTO KUFANYA MAKOSA
Ni kosa kubwa sana kwa mzazi kumzuia motto wakeasiwe anafanya makosa, muache afanye makosa

16. WAFUNDISHE KUHUSU FAIDA NA HASARA
Wafundishe watoto faida ni nini, na hasarani nini, hii itawasaidia sana

17. WARUHUSU KUUZA KILE WANACHO FANYA
Kama motto anafuga njiwa nyumbani, basimwambie awe anauza hao Njiwa na wewe uwe una mfutilia kwa nyuma kuona anavyouza na kazalika,

Kama motto ni mpishi basi awe ana pikamandazi yake na kuyauza

18. RUHUSU MTOTO AWE ANATUMIA PESA KWA KILE ANACHOFANYA
Kama motto anafuga kuku na kawauza muacheatumie pesa hizo kwa anacho taka ni ulimuradi uwe umeisha mpatia elimu yakutosha ya biashara

19. BALANCE MAISHA YAO NA BIASHARA
Watoto wawe na muda wa kusoma elimu yakawaida na wawe na muda wa kufanya practical za business zao

WATOTO WAANZE KUELEZWA KWAMBA WANASOMA ILIWAJE KUWA WAFANYA BIASHARA WAKUBWA KABISA HAPA TANZANIA

NB: wazazi wengi sana huzania ile kuwa na House boy, house girl wa kufanya kila kitu na watoto kazi yao ni kucheza kutwa nzima ni kuwasaidia watoto, huwezi wasaidia watoto kwa kuwaletea Ma house boy na ma house girl, no ni lazima watoto wajifunze kwa vitenda, kama una mabanda ya Ng,ombe basi watoto wawe wanalisha ng,ombe mara mija moja,

Kama unashamba basi na wao waende Shambani na si mzazi kwenda shamba na kuwaacha watoto wakicheza kutwa nzima na kutazama MOVE ZA WAKINA ambazo haziwasaidii chochote kile katika maisha yao

 
mkuu chasha nimeipenda sana hii ni kweli watoto wetu wanatakiwa kufundishwa ujasirinmali na si kuwafundisha kuja kutafuta kazi, tusipo waandaa watoto wetu kuja kuwa wafanya biashara ni nani atakaye ongoza uchumi wetu? kila nchi duniani uchumi wake huongozwa na wazawa ila kwetu ni tofauti kabisa. Tatizo la kazi ni kubwa kwa sababu watoto tangia udogoni walifundishwa kuajiriwa,
 
Mmmmh ni nzuri ila ndio hivyo tena tushapitwa ila baada ya miaka 20 hope mwanangu nitamfundisha hivyo
 
Nimesave page next year navuta jiko xo najiandaa
 
Chasha hakika umeangusha somo zuri na mwenye kuzingatia atazingatia mwenye kupuuza na apuuze tu kwani hakika umeleta somo!

Mi binafsi nakushukuru!
 
Last edited by a moderator:
Very good article.
Ujamaa has proven to be a failure and is the worst thing that Tanzanians have been exposed to.
 
Chasha hakika umeangusha somo zuri na mwenye kuzingatia atazingatia mwenye kupuuza na apuuze tu kwani hakika umeleta somo!

Mi binafsi nakushukuru!

True mkuu, Wazazi wanatakiwa kuwaanda watoto kuja kuwa wafanya biashara katika Nchi hii na si kuwa watafuta kazi kwa wazungu, Inashangaza Serikali na wazai kuto kuangalia hili, ni hatari sana kuandaa watoto kuja kuwa watafuta kazi kwa wawekezaji wa kizungu, na hii ndo inaleta mambo kama ya Nigeria, kutafuta KAZI YA Udrea ukiwa na Phd,

Na hata hii ya Nigeria huenda ni sababu ya Wazazi wao kuwalea katika mfumo wa kuja kuwa waajiriwa, na ni wazazi wachache sana wanao andaa watoto kuja kuwa wafanya biashara/wajasirimali
 
Very good article.
Ujamaa has proven to be a failure and is the worst thing that Tanzanians have been exposed to.

Ni kweli Ujamaa unalemaza sana na hufanya watu walale usingizi wa pono, na hadi leo hii bado ujamaa haujatutoka kabisa, Nchi kama URUSI the father of Socialism ndo kwa sasa anajaribu kupiga hatua baada ya ujamaa kumshinda, china alishitukia mapema sana, zimebakia nchi kama CUBA na Korea North
 
ohhh hadi raha, nimeipenda saaaana ngoja niiweke kwenye desktop!

True mkuu inatakiwa tuwaongoze watoto wetu kuja kuwa wajasirimali wakubwa hapa Tanzania na si watoto kuja kuwa wakuzunguka na Bahasha kutafuta kazi, It is tru that wengi sisi tusha haribu kutokana na Wazazi wetu kutufundisha tangia tukiwa watoto kwamba tunasoma ili tuje kuwa Mameneja wa Benki, Wakurugenzi wa makammpuni ya umma na kazailika, hili ni moja ya tatizo kubwa sana linalo tufanya tushindwe kuchukua hatua kwa sababu tulisha jengewe kichwani,

So watoto wetu wana chansi ya kuja kufanya vizuri katika biashara endapo tu tuta waanzishia wakiwa wadogo
 
Kila mtu anapozaliwa kuna gift anakuwa nayo,mfano;kuimba,uandishi,ufundi,uchoraji,ubunifu,tafsiri za lugha, n.k.mtihani unakuwa hapa especially kwetu watu weusi.
Kunatakiwa mazingira ambayo mtu ataweza kugundua mtt uyu ana kipaji flani hebu tukiendeleze.

Tujitahidi kwenye hili mana ni mtaji mkubwa.ili kuepusha watt kuendelea kuiga biashara zilizopo,badala yake waje na idea zao.
Sometimes ni vizuri kutengeneza mazingira magumu ili uone mtoto wako ana uwezo kiasi gani wa kufikiri.
 
asante sana nimepata darasa zuri sana kupitia hili andiko lako. Mwenyezi Mungu akubariki.
 
Ndg huo ukurasa ni mzuri sana lakini kumbuka kuwa kumcha Mungu ni mwanzo wa maarifa kama unabisha ukamuulize Sulemani
 
Back
Top Bottom