mandevuclassic
Member
- Nov 23, 2013
- 79
- 119
Naomba msaada mwenzi Wangu anatoa HARUFU mbaya UKENI mara ya Kwanza.. alikua anatoa kwa sababu ya kutumia sindano za uzazi wa mpango..alipoacha HARUFU iliisha kabisa.. sasa kaweka kitanzi.. tatizo limerudi..atumie dawa gani ili aache kutoa harufu..!